Wahusika wa hizi mimba za vichaa ni nani?

Vp kuhusu magonjwa ya zinaa km gono na mengineyo ukizingatia mazingira yenyewe yalivokua ya uchafu
una miaka 50- 55 bado tu unatumia kondom unadhani utaishi milele?
Piga tu muda ushaisha
hata kama ngoma ikikukosa basi kisukari ni chako
u must go
 
mimi swali langu huwaga wanasikia utamu au ndio kichaa tena ha`feel chochote/nyie wadunguaji vichaa njooni mtupe uzoefu kwenye hili...
 
Wanaposema nafsi ya mtu ni kiza kinene wanamaanisha mengi. Watu wamebaba siri nzito ndani ya mioyo yao ikitokea siku mambo yote yakawekwa hadharani usishangae yule uliyemdhania muovu wa mwisho akawa ndio mithili ya malaika. Usistaajabu mtu mwenye heshima katika jamii na familia yake ambae hatumii kilevi chochote akawa ndio mhusika wa mimba ya kichaa na huo ndio ukawa ulevi wake. Binadamu tunaficha mengi mioyoni mwetu.
 
Yaweza kuwa vichaa Wenzake, Mateja, Watoto/Vijana wa mtaani au hata watu wenye akili zao timamu...asikwambie mtu huyo kichaa mke na wehu wake wote akiwekwa kwenye kumi na nane anatulia huwezi amini...na wakati mwingine wao ndio uhamasisha waingiliwe.

Nimeshaona clip moja kwenye nchi moja (Amerika kusini huko) kichaa mume anajaribu kum do Kichaa mke kando ya barabara mchana kweupe, wapita njia ndio wakalitishia na kuliondoa lile jamaa...ila bidada alikuwa ametulia tuli anasubiria mambo...labda kuwasaidia ni kuwakamata hao vichaa wa kike wafungwe vizazi.
 
Ni wale wasio na roho za huruma kwa sababu mtu ameshakuwa kichaa bado unazini nae hadi unampa mimba hiyo ni roho ya kishetani kwa sababu tayari ni mgonjwa bado unamuongezea jambo ambalo mara nyingi ni ngumu kulimudu kwa hali yake.
Nice point
 
1. Wengi wenye akili timamu wanawaingilia kimwili wanawake vichaa kama masharti ya wagaga... Ushirikina.
2. Kuna vichaa wanaridhia tendo hilo, na wengine wanashikikiana na vichaa wenzao.
Kuna story moja ilisambaa mwaka jana, vichaa wawili wanapendana mpaka kupeana mimba.
 
1. Wengi wenye akili timamu wanawaingilia kimwili wanawake vichaa kama masharti ya wagaga... Ushirikina.
2. Kuna vichaa wanaridhia tendo hilo, na wengine wanashikikiana na vichaa wenzao.
Kuna story moja ilisambaa mwaka jana, vichaa wawili wanapendana mpaka kupeana mimba.
we paprika sasa hivi unaakili zako na unajua utamu wa tendo la ndoa.

Vuta picha ingekukuwa wewe uko katika hali hiyo ungejihisi vp?

Hata kichaa anahaki kupatiwa tendo hilo ila asibakwe
 
Yaani afadhali tuwe wawili maana dunia inaenda pabaya, sie tushuke tuu nasikia kuna dunia mpya imegunduliwa tutaelekea huko
Kabisa mana tukienda zetu kule kutakuwa na kaunafuu sababu mpaka maajabu haya yafike sio leo.
 
Back
Top Bottom