Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

You do realize haiendi chuo kusaka mume, so point yako ni so irrelevant. Ishu hapa ni ajira kuwa ngumu dispite of elimu ipo

Wengi hawa wanakuwa raise, shuleni mpaka chuoni kwamba wakimaliza wataajiriwa, walimu, dkt, profan hawa waambii ukweli
Sasa kwani ukienda chuo ndio hawataki kuolewa? Hamna bwana hawa kataa ndoa inabidi waoe hawa wadada sasa angekuwa kaolewa huyo dada sii yupo home anatunzwa na mume wake na siajabu alishaanzishiwa biashara na kwa elimu yake tayari anaitumia
 
Wanaweka pesa nyingi kwenye elimu ambayo haina Returns kwa mazingira yetu.

Huyo dada angepata laki tano tu akauza Chapati na Supu atapata hela ya kujikimu
Wengi wanashindana kijinga. Mimi sio supporter wa mzee LIKUD ila huwa namuunga mkono ni bora mtu asomeshe mtoto wake Kayumba kama kipato chake sio kikubwa. Cha muhimu ni kumfuatilia mtoto kwa karibu hadi pale atakapoweza kujisimamia.
 
Sasa kwani ukienda chuo ndio hawataki kuolewa? Hamna bwana hawa kataa ndoa inabidi waoe hawa wadada sasa angekuwa kaolewa huyo dada sii yupo home anatunzwa na mume wake na siajabu alishaanzishiwa biashara na kwa elimu yake tayari anaitumia
Hamna chuo cha kwenda kusaka mume. ww unawaza kuolewa wao wanawaza elimu na future zao. Ndio maana hawalalilii mume, ajira ajira ajira
 
Sasa kwani ukienda chuo ndio hawataki kuolewa? Hamna bwana hawa kataa ndoa inabidi waoe hawa wadada sasa angekuwa kaolewa huyo dada sii yupo home anatunzwa na mume wake na siajabu alishaanzishiwa biashara na kwa elimu yake tayari anaitumia
ww ujaoa unakla mbususus.
 
Back
Top Bottom