Mwiba1
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 932
- 2,042
Kasome history vizuri wapare wameanza kitambo kabla ya hao wajuaji
Upo unakoment kwenye platform iliyotengenezwa na mhaya.
Wahaya ni moja ya jamii ya kwanza kufua vyuma Dunia hii. Wew jamii yako iná kipi cha kujivunia😂....
View: https://youtu.be/Dv9HVHpkt9E?si=jFVcJsDHQB4AVAIj