Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
mkuu,ungeacha tumwone mbong'oaji maarufu wa jf anavyo amisha magoliModerator , unganisha huu uzi kunakohusika.
mkuu,ungeacha tumwone mbong'oaji maarufu wa jf anavyo amisha magoliModerator , unganisha huu uzi kunakohusika.
EMPTE.Empte= empty
.... indeed!Very funny.
Ungezungumzia suala la sukari vile magoli yavyohamishwa!!
Sukari ipo na viwanda vyetu vina uwezo wa kuzalisha sukari ya kutosha!!
Mara, kuna wafanyabiashara wanaficha sukari ..............!!
Mara, tumezuia sukari kuletwa toka nje kwa vile wafanyabiashara walikuwa wanakenda Brazil kutuletea sukari iliyokaribia kuexpire!!
Magufuli hawezi kushindwa kuleta sukari hata kama ni mabehewa elfu ngapi...!!
Nimeongea na Waziri Mkuu ................!!!
Hapa ndiyo kuhamisha magoli ............ siyo hayo unayoyasema hapo juu!!
That is your ignorance pal.... you can keep it! At least I found a funny side of the situation... keep your sad ass strictly locked into your sad, deluded behind... I dont need it; nor your adviceIf you found anything funny there, you are such a deeply deranged human being.
wew mpiga filimbi wa mfalme matangazo ya tra ymekusaidia nini
Mapato yakishuka na ikawa sio siri tena, itakuwaje? Wahabomoa uwanja kabisa au magoli yatavunjwa? Ni suala la muda tu
Nyinyi wasogeza magoli mshahara wenu umeongezeka kiasi gani??
mkuu,samahani,hapo ulipo umebong'oa,umelala chali au kifudi fudi?
Mkuu umekua Ritz kabisaHalafu kwani kuna guarantee mapato hayawezi kushuka; au yakishuka ndio wataanza kulia kabisa "kwanini yameshuka" na wengine watasema ni wachumi kabisa. Mapato yanaweza kupanda au kushuka kutokanaa na vitu (factors) mbalimbali.
Iike a boomerang, right back in your a****.That is your ignorance pal.... you can keep it! At least I found a funny side of the situation... keep your sad ass strictly locked into your sad, deluded behind... I dont need it; nor your advice
kama una shida ya bwana tafuta wengine... You jumped into someones comment now unamangamanga tu, stay off my d**k pleaseIike a boomerang, right back in your a****.
Hii ni mara ya mwisho kuchangia thread ya huyu mnafiki. Sitochangia, sitorudia. Hivi mtu anayenunua sindano, kiberiti, panadol, wembe kwa dola anahangaisha vichwa vyetu? Alikimbia shida zetu akaenda kubeba mabox eti leo anasema anakataa misaada ya wazungu aliyoamua si kuipokea tu bali kuifuata.Kama ambavyo nimekuwa nikisema mara kadhaa sasa; tuliwaona wahamisha magoli wakitengeneza magoli yao mapema wiki iliyopita wakidai kuwa serikali sijui TRA wameamua kuficha mapato kwa sababu hayakuwa mazuri.
Magoli yao yaliandikwa kuwa ati TRA wameficha hesabu na wanaona aibu kutangaza mapato ya mwezi wa nne! Sasa leo mapato hayo yametangazwa kwa utaratibu ule ule na kuonesha kuwa mapato hayajashuka kama watengeneza magoli wetu walivyotaka...
Sasa wameanza kuhamisha - "oh nani anatangaza mapato!" ao "tunaweza vipi kuyaamini"...
Mwisho wa siku watang'oa magoi waondoke nayo uwanjani!