usilete ujuaji kwa daktari siku nyingine utamuua ndugu yako , yupo mtu x alienda kituo x hapa dar akakutwa na ugonjwa x wa macho akashauriwa operation tena ilikuwa anafanyiwa bure ila analipia kitanda na huduma ya chakula jumla 100k kwa siku 2 akampigia rafiki yake daktari akampoteza akamwambia akanunue dawa x bila kumuona , asee kaamka siku ya 2 jicho limeanza haribika kajifanya kuvimba akaamka next day jicho limeanza ozaa , kaenda mhimbili wanamwambia ni la kutoa tu , jamaa ss hv ni chongo , TUHESHIMU MADAKTARI , UKIPIMA CHUKUA DAWA HAPO HAPO MAANA KUNA SWALA LA QUANTITY NA DURATION VITAKUZINGUA TU
Hii sidhani kama nilikujibu wewe ,nadhani ilikuwa ni wrong tagSio Tu hela Mkuu namiliki pia Vituo vya Afya kadhaa..
Karibu!