Wagonjwa wagomea zawadi ya vyakula, wataka dawa

hcho kikundi kimejitolea kununua chakula kuwaletea wao wanakataa!!!! kwan hcho kikundi ndio chenye majukumu ya kuwanunjulia dawa mpk wanakisusia? kama wangemsusia Kiongoz wa kisasa au serikali sawa na c wananchi wenzao waliojitolea
 
Wagonjwa wamepelekewa chakula na sabuni wamekataa! Hivi mnaowaunga mkono hamjui umuhimu wake? Hamjawahi ona wagonjwa wasiopta lishe hata kama wanadawa? Je hao waliotoa huo msaada ilikuwa ni lazuma au ni hurma yao tu? Kama wamekosa dawa hawamjui anayekusanya kodi ili kuwapa huduma za maji; elimu; afya nk? Wangepokea wakashukuru kisha wakawaeleza na hizo shida nyingine. Siku zote kushukuru ni kuomba tena; kamwe wasitrajie hao waliofedheshwa kurudi tena
 
sasa 2020 wajitambue zaidi,,,maana wanawake na wazee wa nchii hii akili zao wazijua wenyewe!!
 
Kutoka Bukombe!
f7996fff9c879a8d02b155d30c65ad7b.jpg
 
Hao wagonjwa wapumbavuuuuu,, majukumu ya serikali unataka yafanywe na raia ambao huwa wanalipa kodi? Tena ningekuwa mimi ningerudi na misaada yangu wala wasigeniona tena! Kikundi cha Huruma kina malengo gani ya kisiasa kwenye hilo? Huyo mama hajitambui! Kesho na kesho kutwa ndo unawakuta wamevalia madela ya CCM huku wakiimba "wacha waisome namba eeeeeeh, CCM mbele kwa mbeleeeee!! Huo ujumbe wangeutuma kwa Magufuli siyo kwa kikundi cha kina mama! Yaani zawadi unataka umpangie anayetoa zawadi? Itaitwa bado zawazi kweli??
 
Nadhani angekuwepo mzazi au ndugu yako ungewaita wapumbafu?. Shenzyi
 
Mmh jamani,mlizaaje kama hata kuvisha wana wenu mnashindwa?unataka panadol kwa watu waliokuja kuwasalimia tu,like wafiwa wanadai sanda!! Maiti ni yako mie nimekuja kukufariji tu.
 
Nadhani angekuwepo mzazi au ndugu yako ungewaita wapumbafu?. Shenzyi
Ni upumbavu kumlazimisha aliyekuja kukusalimia akupe unachotaka wewe! Nasema tena ni upumbavu kulilia panadol wakati wananchi wanalipa kodi ili wagonjwa wahudumiwe. Wanaokuja kukusalimia wanakupa chakula kwa sababu wanajua hapo ulipo hospital haiwezi kukupa chakula kizuri wewe ndo maana wakakuletea chakula ili hospital ibaki ba jukumu la kukupa dawa. Kama dawa hazipo hospitalini serikali iulizwe, vinginevyo endeleeni kuimba iyena iyena ccm nambari one na madela yenu!! Nyoko kabisa,, eti upelekewe panadol pambavvvvvvuuu
 
Dogoo acha hasira ama kwasabab huko well off
 
Back
Top Bottom