Wagonjwa 1,622,979 walilazwa Hospitali nchini Tanzania mwaka 2023

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,591
8,818
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi kufikia Desemba 2023, jumla ya Wagonjwa 1,622,979 walilazwa katika Hospitali na Vituo vya Afya nchini Tanzania kulinganisha na Wagonjwa 1,630,722 waliolazwa mwaka 2022

Pia, Mahudhurio ya Wagonjwa wa Nje (Wasiolazwa) yalikuwa Milioni 41.3 kulinganisha na mwaka 2023 ambapo Wagonjwa walikuwa Milioni 42.2. Idadi hiyo inatokana na Mwongozo wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ambao unataka mahudhurio ya Wagonjwa Hospitali yapimwe kwa idadi ya Watu
 
kama umevuka mwaka uko negative kama mimi mshukuru Mungu kisha upunguze speed na uongeze umakini UKIMWI upo
 
Back
Top Bottom