Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Viongozi mliopo humu, mjue na mtambue ambacho kinaendelea halmashauri ya wilaya ya Masasi. Wagombea wa upinzani wamekalishwa siku ya tatu mfululizo pasipo maelekezo ya aina yeyote.
Hii inaonesha kwa namna gani DAS na watu wake wanaendelea kuhujumu wagombea.
Watu wanahojiwa karibu masaa matatu bila sababu za msingi.
Inaonesha lengo ni kuwakomoa wagombea
Hii inaonesha kwa namna gani DAS na watu wake wanaendelea kuhujumu wagombea.
Watu wanahojiwa karibu masaa matatu bila sababu za msingi.
Inaonesha lengo ni kuwakomoa wagombea