FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,026
- 122,651
Duuu aisee huyo sheikh lazima ana undugu na Sheikh Kipozeo
Naam bi Mkubwa kawaida sana japo wengi wanaogopa kujibu hadharani ,ndio maana sheikh ilimchukua muda kidogo mpaka muuliza maswali akataka kulirukaMambo ya kawaida hayo na Uislam haujaacha kitu.