Nilivyokua form 2 (2010) bei ya jumla ya kuuzia kuku ilikua tsh.5000 hadi tsh.5500/= leo hii nipo chuo mwaka wa pili (2017) Seven years onwards bei ni ile ile tsh.5500/= while considering kwamba other factors kama bei za madawa, vyakula, usafiri, ufundi, mbao, hardware, maji na umeme zimekua zikiendelea kupanda juu. Mmekua dhaifu na mmekosa umoja wa ku control soko lenu wenyewe.
What is the point of being an entrepreneur if you still work for someone. Wafugaji mkiendelea na upofu na ulimbuken huu huu wa kupelekeshwa na wanunuzi mtaendelea kuishia kwenye mediocracy tu. Mmekuwa mkilalamika ufugaji wa kuku huzaa faida kidogo bila kusahau nyie wenyewe ndo wachawi wa kutokuendelea kwa biashara zenu.
AMKENI.....FUNGUKENI.....CHUKUENI HATUA..... TAKE A STAND MFUGAJI
Hivi hiyo bei ya 5500 ni wapi nami nikimbie upesi nikanunue!!??