coscated
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,227
- 2,615
Kwakeli mzee tupatupa anajitahidiHata sisi huku CCM tunajivunia Kada wetu maarufu Mzee VUTA-NKUVUTE

Ina maana hujui umuhimu wa vyeti vya Makonda?Vyeti vya nini tena Kamanda wangu?
Naomba link ya uzi unaohusu hii habari mkuu.Kwa maoni yako anayefuata kupotezwa atakuwa Nape kwani Lizaboni kasema anajengewa nyumba huko mikocheni/Lindi na atanunuliwa Range rover na muuza unga Majjizo wa E.fm. Ngoja tuone.
Lizaboni ndiyo Bashite?Naanza kumuogopa Lizaboni. Huyu jamaa ni zaidi ya tunavyomhitaji humu JF. huyu jamaa anafanya kazi kubwa sana kwa manufaa ya chama chake na Taifa kwa ujumla.
Ni huyu huyu Lizaboni aliyetujuza juu ya kutokea kwa mitikisiko mkubwa ndani ya CHADEMA ambao haijawahi kutokea . Haijapita hata Juma moja Dr Slaa huyoooo akang'atuka.
Huyu Lizaboni inavyofika kipindi cha michakato mbalimbali ndani ya chama chake, anajitoa zaidi kuangalia maslahi mapana ya chama na si kujiegemea kwa watu ili kujaza tambo lake. Amefichua njama kadhaa za watu waliokuwa wanakihujumu chama chake. Mpaka sasa, hakuna mtu aliyefichuliwa na Lizaboni akabaki salama. Kuanzia Lowasa, Membe, Nchimbi, Luhwavi, Msukuma, Bashe nk
CHADEMA hatuna mtu wa design ya Lizaboni hata mmoja. Wengi wamegeuka kuwa watetezi wa viongozi Binafsi nimeanza kuiga tabia ya Lizaboni ijapokuwa humu ninaitwa msaliti
Tubadilike
Natamani kuona walio like hiyo post ya OKW BOBAN SUNZU. Huenda ukawaona ambao huwezi kuamini wanachokisema leo.Hahaha Chadema humu wamejaa wanafiki
Lizaboni hana unafiki kamwe
Hapa lowassa alikuwa ccm
lakini Jamaa alimsema bila kumung'unya kuwa hatufai
Njoo kwa mamluki wa Chadema Aka Vibendera
huyu ni OKW BOBAN SUNZU
Huyu ni falcon mombasa
Huyu ni BAK
Hapa ndio utajua kuwa unafiki na uzandiki kufuata mkumbo
ndio Asili ya wafuasi wa Chadema
Daudi Mchambuzi yumoNatamani kuona walio like hiyo post ya OKW BOBAN SUNZU. Huenda ukawaona ambao huwezi kuamini wanachokisema leo.
Mkuu BAK maandishi hayaozi kamanda na tuwe tunakuwa na akiba ya maneno.
Naanza kumuogopa Lizaboni. Huyu jamaa ni zaidi ya tunavyomhitaji humu JF. huyu jamaa anafanya kazi kubwa sana kwa manufaa ya chama chake na Taifa kwa ujumla.
Ni huyu huyu Lizaboni aliyetujuza juu ya kutokea kwa mitikisiko mkubwa ndani ya CHADEMA ambao haijawahi kutokea . Haijapita hata Juma moja Dr Slaa huyoooo akang'atuka.
Huyu Lizaboni inavyofika kipindi cha michakato mbalimbali ndani ya chama chake, anajitoa zaidi kuangalia maslahi mapana ya chama na si kujiegemea kwa watu ili kujaza tambo lake. Amefichua njama kadhaa za watu waliokuwa wanakihujumu chama chake. Mpaka sasa, hakuna mtu aliyefichuliwa na Lizaboni akabaki salama. Kuanzia Lowasa, Membe, Nchimbi, Luhwavi, Msukuma, Bashe nk
CHADEMA hatuna mtu wa design ya Lizaboni hata mmoja. Wengi wamegeuka kuwa watetezi wa viongozi Binafsi nimeanza kuiga tabia ya Lizaboni ijapokuwa humu ninaitwa msaliti
Tubadilike
Fake ID na kiki ya pekee....ndiyo maana huwa una chura mkubwa sana....na MENaanza kumuogopa Lizaboni. Huyu jamaa ni zaidi ya tunavyomhitaji humu JF. huyu jamaa anafanya kazi kubwa sana kwa manufaa ya chama chake na Taifa kwa ujumla.
Ni huyu huyu Lizaboni aliyetujuza juu ya kutokea kwa mitikisiko mkubwa ndani ya CHADEMA ambao haijawahi kutokea . Haijapita hata Juma moja Dr Slaa huyoooo akang'atuka.
Huyu Lizaboni inavyofika kipindi cha michakato mbalimbali ndani ya chama chake, anajitoa zaidi kuangalia maslahi mapana ya chama na si kujiegemea kwa watu ili kujaza tambo lake. Amefichua njama kadhaa za watu waliokuwa wanakihujumu chama chake. Mpaka sasa, hakuna mtu aliyefichuliwa na Lizaboni akabaki salama. Kuanzia Lowasa, Membe, Nchimbi, Luhwavi, Msukuma, Bashe nk
CHADEMA hatuna mtu wa design ya Lizaboni hata mmoja. Wengi wamegeuka kuwa watetezi wa viongozi Binafsi nimeanza kuiga tabia ya Lizaboni ijapokuwa humu ninaitwa msaliti
Tubadilike
Kweli kabisa chadema hatuwezi mpata mtu kama Lizaboni...wengi wetu tumekuwa bendera fuata upepo. Hatureason....hata kama kiongozi atakwepa kodi sie kama nyumbu tu kumtetea....kwakweli ni aibuNaanza kumuogopa Lizaboni. Huyu jamaa ni zaidi ya tunavyomhitaji humu JF. huyu jamaa anafanya kazi kubwa sana kwa manufaa ya chama chake na Taifa kwa ujumla.
Ni huyu huyu Lizaboni aliyetujuza juu ya kutokea kwa mitikisiko mkubwa ndani ya CHADEMA ambao haijawahi kutokea . Haijapita hata Juma moja Dr Slaa huyoooo akang'atuka.
Huyu Lizaboni inavyofika kipindi cha michakato mbalimbali ndani ya chama chake, anajitoa zaidi kuangalia maslahi mapana ya chama na si kujiegemea kwa watu ili kujaza tambo lake. Amefichua njama kadhaa za watu waliokuwa wanakihujumu chama chake. Mpaka sasa, hakuna mtu aliyefichuliwa na Lizaboni akabaki salama. Kuanzia Lowasa, Membe, Nchimbi, Luhwavi, Msukuma, Bashe nk
CHADEMA hatuna mtu wa design ya Lizaboni hata mmoja. Wengi wamegeuka kuwa watetezi wa viongozi Binafsi nimeanza kuiga tabia ya Lizaboni ijapokuwa humu ninaitwa msaliti
Tubadilike
Acha kutajataja wanaume wewe binti
Kweli kabisa chadema hatuwezi mpata mtu kama Lizaboni...wengi wetu tumekuwa bendera fuata upepo. Hatureason....hata kama kiongozi atakwepa kodi sie kama nyumbu tu kumtetea....kwakweli ni aibu
Mambo mengine tule kimya mkuuAkili zenu wana ccm za hovyo hovyo sana, nani alikwambia Chadema ilitikisika baada ya yule Dr mihogo kuondoka?!!