Habari zenu wana JF,
Kwa wale ambao mna shida na wafanyakazi wa kazi za ndani nimefungua ofisi.
Tuna huduma ya wafanyakazi wa kazi za ndani.
Wapo wanao weza kulala kwa mwajiri na wapo ambao wanaenda na kurudi.
Pia kama una mgahawa wa chakula, wanaweza pia kufanya kazi hiyo.
Pia tunatoa huduma ya usafi wa nguo majumbani.
Wafanyakazi wetu ni wadada ambao wanaishi hapa hapa jijini Dar es salaam. Wengi wao ni wahitimu wa kidato cha nne miaka miwili au mitatu iliyopita lakini hawakufanikiwa kuendelea na masomo ya kidato cha 5 au vyuo vya kati.
Usalama wa boss mwajiri na mfanyakazi umezingatiwa.
Tunazo taarifa zao zote muhimu ikiwa ni pamoja na barua za utambulisho kutoka serikali za Mitaa wanayo ishi pamoja na barua na taarifa za wadhamjni wawili wawili.
Sifa za ziada: Tunawafundisha jinsi ya kupika vyakula maalumu kwa watu wenye uhitaji maalumu wa afya mfano wagonjwa wa presha vidonda vya tumbo na sukari. Kwa maana ya kwamba hata kama nyumbani kuna wagonjwa wa presha basi wadada wetu wanajua namna ya kupika chakula ambacho hakitamuathiri mlaji mfano kubalance chumvi na mafuta au kutumia chumvi ya mawe badala ya chumvi ya viwandani.
Pia wanaweza kufanya kazi ya upishi mashuleni, upishi na usafi maofisini nakadhalika.
Wasiliana nasi kupitia simu yetu:
0693 005 189.
Tunapatikana Chanika Mwisho kituo kinaitwa Nzasa Kwa Mwarabu.
Nzasa kwa mwarabu ni baada ga chanika mwisho. Ukisha fika Chanika Mwisho unapanda bajaj unashuka kituo kinaitwa Nzasa Kwa Mwarabu. Tunapatikana hapo.
Karibu sana na Heri ya Mwaka Mpya