Afadhari mkuu unaelewa ,siku zote wafanyabiashara ndio wanaoongoza nchi hasa hizi za kimasikiniNchi yeyote dunian iliyoendelea inaheshimu wafanyabiashara wake kwani ndyo walipa kodi ndyo maana TRA mapato makubwa wanategemea bandarini syo 11% ya wafanyakaz,, tz hatuendi mbele kwa sababu serikali haina urafiki na wafanyabiashara..... Leo hii watawala wetu wanatangaza eti tz ya viwanda inakuja, huwez kuwa na tz ya viwanda kama huna urafiki na wafanyabiashara watatoka na kwenda kuwekeza nchi zingine.... Maajabu haya yako tz tu na mbaya zaidi wtz tumejengewa tabia ya kuwaamini viongoz kila wanachoongea.... Tz bila wafanyabiashara haiwezekan.....
Kweli kabisa mkuu,yaani mfanyabiashara hakwepeki kabisa,hasa katika nchi zetu za dunia ya tatu hiiMarekani wakati anaanza kupambana na ugaidi alizuia mzunguko wote unauhusiana na wale aliowaita mawakala wa ugaidi na kuwanyanya kwenye mzunguko wao
walipozuia mzunguko wa hela zao kwwnye benki za magharibi ndio tulipoambia kulitokea mtikisiko wa dunia nzima kibiashara
na kuyumba kule kwa uchumi uliiathiri dunia nzima hasa nchi zetu za dunia ya tatu
misaada karibu yote ilisitishwa au kupunguzwa
hapa ndio tunapoona umuhimu wa wafanya biashara kwenye mzunguko wa uchumi
huwezi kuwakwepa kama kweli uanadhamira ya kuinua uchumi hasa wa viwanda
Wafia vyama na wasioelewa ni ngunu sana kuelewa,ila kwa hapa tanzania ni ukweli ulio wazi kwamba tunategemea zaidi wafanyabiasharaMkuu chukua 5.
Vision yako iko mbali sana. Ila itakuwa ngumu kwa watu wa humu kukuelewa.
Usichoke kutuwekea thought zako.
Serikali ya Uingereza pamoja Na ushawishi wote iliyokuwa nayo, Ila hata siku moja ha mess up Na big companies.
Big companies ndio wanaendesha Economy ya nchi.
Imagine kwa pamoja sekta 3 zigome. Mafuta, Usafishaji Na Chakula. Serikali itaweza ku cover vyote kwa pamoja??
Mkuu hatuombei akwame,ila tunamwambia awe makini,,usiandike na kusoma kwa jazba kakaHivi watanzania tupoje? Kipindi cha waibua ufisadi tulipiga kelele juu ya mafisadi kuwa ni vyema wafungwe. Tumepata mtu anawafuta kazi wazembe mtu bali anawaza kuwa bora akwame. Jema kwetu ni lipi?
Hivi watanzania tupoje? Kipindi cha waibua ufisadi tulipiga kelele juu ya mafisadi kuwa ni vyema wafungwe. Tumepata mtu anawafuta kazi wazembe mtu bali anawaza kuwa bora akwame. Jema kwetu ni lipi?
Ila naanza kupata hofu juu ya washauri wakuu wa Raisi.Wafia vyama na wasioelewa ni ngunu sana kuelewa,ila kwa hapa tanzania ni ukweli ulio wazi kwamba tunategemea zaidi wafanyabiashara
Ngoja tuwe wapole tu,ila kwa pupa ya huyu prezdaa ni wazi kabisa luna kukwama huko mbeleIla naanza kupata hofu juu ya washauri wakuu wa Raisi.
At the moment kama vile anarudi kwenye sera za Kijamaa. Kwa maana one man show imeongezeka sana pia Hakuna clear strategy ya namna uchumi utakavyo inuliwa.
Raisi ana base zaidi kwenye kujenga miundo mbonu ya nchi, kwa maono yangu hiyo priority kwa sababu asilimia Kubwa Tayari JK alishafanya yeye ni alikuwa angetakiwa kuusoma, kutafakari uchumi wa nchi Na namna ambavyo ataweza kubadili maisha ya WaTZ.
Muongo,mtikisiko ulitokana na makampuni makubwa na mabenki kupika hesabuMarekani wakati anaanza kupambana na ugaidi alizuia mzunguko wote unauhusiana na wale aliowaita mawakala wa ugaidi na kuwanyanya kwenye mzunguko wao
walipozuia mzunguko wa hela zao kwwnye benki za magharibi ndio tulipoambia kulitokea mtikisiko wa dunia nzima kibiashara
na kuyumba kule kwa uchumi uliiathiri dunia nzima hasa nchi zetu za dunia ya tatu
misaada karibu yote ilisitishwa au kupunguzwa
hapa ndio tunapoona umuhimu wa wafanya biashara kwenye mzunguko wa uchumi
huwezi kuwakwepa kama kweli uanadhamira ya kuinua uchumi hasa wa viwanda
Kweli mkuu,watu wanalishwa maneno na viongozi wao wa kisiasa basi wanakalili kama yalivo kama huyo.mtu hata hatumii ubongo wake kujiongeza,kweli ukiwa mfia chama ni hatariTatizo lako unapenda kukalilishwa na viongoz, jaribu kutumia akili yko vzr utangundua tatizo lilipo kwa sasa
Tuombe dua awe anafahamu anachokifanya, pia awe anakubali kushauriwa.Ngoja tuwe wapole tu,ila kwa pupa ya huyu prezdaa ni wazi kabisa luna kukwama huko mbele
Mimi na wewe tuna mtaji huo??Leo katika kipindi cha Hot Mix cha East Africa Television (EATV). Apa Tanzania Kuna wafanyabiashara 10. Wamesema watamwangusha Rais Magufuli. Mimi Naona kwamba sasa awa wafanyabiashara wamefika pabaya wanadai kwamba awafanyi biashara kwa mda wa miaka 2. Awa wafanyabiashara ndio waliokuwa wameficha iyo sukari. Na ndio wanapanga bei ya vitu vinginevyo kama mchele, mafuta ya petrol na vitu vinginevyo. Apa kilichobaki sisi watanzania wenye nia njema kufanya biashara kama wao wanaleta mgomo baridi
We mtu i doubt utakuwa mzururaji tu wa mjini! Huna kazi ya kuku-keep busy thus y kutwa kucha kushinda jf kuhangaika na siasa!Hawa wafanyabiashara wakwepa kodi na walanguzi ndiyo unadhani wanaweza kuiangusha serikali?
Inawezekana uko kwenye ndoto za mchana.
Ni vizuri tukakusubiri uamke halafu tukuonyeshe au kukueleza ukweli wa hoja yako.
Mkuu chukua 5.
Vision yako iko mbali sana. Ila itakuwa ngumu kwa watu wa humu kukuelewa.
Usichoke kutuwekea thought zako.
Serikali ya Uingereza pamoja Na ushawishi wote iliyokuwa nayo, Ila hata siku moja ha mess up Na big companies.
Big companies ndio wanaendesha Economy ya nchi.
Imagine kwa pamoja sekta 3 zigome. Mafuta, Usafishaji Na Chakula. Serikali itaweza ku cover vyote kwa pamoja??
ndwa kutueleza kwanini the so called 'big companies' zigome kutoa huduma zao? Halafu huko Uingereza kampuni zikikwepa kulipa kodi, nyie mnadhani huwa wanabembelezwa?Mkuu chukua 5.
Vision yako iko mbali sana. Ila itakuwa ngumu kwa watu wa humu kukuelewa.
Usichoke kutuwekea thought zako.
Serikali ya Uingereza pamoja Na ushawishi wote iliyokuwa nayo, Ila hata siku moja ha mess up Na big companies.
Big companies ndio wanaendesha Economy ya nchi.
Imagine kwa pamoja sekta 3 zigome. Mafuta, Usafishaji Na Chakula. Serikali itaweza ku cover vyote kwa pamoja??
Wewe utajuaje kama kutwa kucha niko JF kama na wewe hushindi JF?We mtu i doubt utakuwa mzururaji tu wa mjini! Huna kazi ya kuku-keep busy thus y kutwa kucha kushinda jf kuhangaika na siasa!
Mkuu ila tatizo ni kwamba jeee atawaweza hao watu?imagine leo wamiliki wa magari ya mikoani wakagoma,je ataweza kupata magari ya kufidia?imagine leo wauza mafuta wakagoma je ataweza?Tatizo lililopo kwamba wengi tunaamini kwamba Tanzania ni nchi ya kibepari. Tanzania bado atujafikia level ya kibepari. Ndio maana Raisi anachokifanya yupo sahihi. Bei ya vitu ktk soko aiwezekani kupangwa na wafanyabiashara wachache kwa sbb bado level ya kibepari atuna.