Bavicha huwa hawaji kwenye nyuzi ambazo chadema wanafukuza watu au wanapandisha kodi,kwao wao ni sahihi kabisa,hawaingii hata kupongeza wakati mwingine.subiri uone uzi halmashauri fulani inayotawaliwa na ccm,imefukuza wapangaji,hapo matusi yote yatatukanwa,viongozi wote mpaka waliostaafu watakula matusiUzi una shida gani huu mkuu?