HAWA wafanyabiashara wameyataka ...kikwete ameshindwa nyumbani kusaidia wafanyabiashara ,ataweza ugenini?.....serikali imeshaingia hasara hapo..kupeleka watalii tu...mwaka jana kuna mmoja alipeleka viatu vya chatu..sasa sijui kama walmart wangempa oda ya pea laki moja angepata wapi chatu wa kutosha..watu hawatumii akili..mimi hapa tanzania wafanyabishara wa kuambatana na rais sioni zaidi ya 20[wazawa]..but utakuta ziara zinajaaa wasanii..na msanii...
kwanza wafanyabiashara wenyewe washamba ...walilipia dinner kwenye ile hafla ya sullivan huko ...@$750... wakawa wanasubiri nje wanangoja kadi hadi sherehe imeisha .. walifikiri kadi kama nyumbani,, kumbe walitakiwa tu ku confirm reception kama wamefika ili wapelekewe kwenye meza zenye majina yao....hasara!!
Du! hii kali, nafikiri next time wata hire trainer wa kuwapa tuition ya mambo ya huko 'mbele' what a shame!