Pre GE2025 DSM Wafanyabiashara 'Marafiki wa Samia' wamchangia Rais Samia TSh. milioni 700 kwa ajili ya kampeni za uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
2,432
6,716
Hahahaha ama kweli wahenga walisema mkono mtupu haulambwi!! Huku akina Lissu wanahangaika na tone tone haijafika hata 150M huku mtu mwenye chungu cha kujichotea tu mabilioni anachangiwa mil 700 😂😂😂😂😂

Ama kweli Mbowe alikua tatizo la upinzani nchini na si Watanganyika 😂😂😂😂😂

CC: JokaKuu Tindo G Sam Lord denning Proved Chakaza Ngongo et al
Hao mafisadi na wakwepa kodi wapiga dili wala hatushtuki. Wanawekeza
 
Back
Top Bottom