John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,400
Kwani hiyo tofauti ya uzito inabadili nini ikiwa jengo limeanguka na kuleta madhara makubwa.
Diversionary Tactics Propaganda.
They have mallice, so they want to shift the burden of negligence to the Tenants of that collapsed building.
Kumbuka: Wahusika Wakuu waliosababisha hiyo ajali na maafa baadhi yao hawajawahi kuwajibishwa Wala hawajafunguliwa Mashitaka ya Jinai Mahakamani, kwa hiyo huo ni Mpango mahsusi wa kutaka kuwanusuru Wahalifu hao ukizingatia kuwa Jinai Haifi Wala haiozi.
Wahusika hao ni:-
1. Mhandisi wa Ujenzi wa Manispaa ya Ilala.
2. Wana Kamati wote waliohusika kwenye Mchakato wa Kutoa Kibali Cha Ujenzi wa Jengo hilo, sambamba na Wahandisi/ Wataalamu wa Ujenzi waliohusika kwenye Ukaguzi wa Jengo wakati wa Ujenzi.