Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 129,725
- 249,565
Mzee Ramadhan Omari Mapuri amehudumu kama kiongozi Mwandamizi kwenye serikali na kwenye Chama cha Mapinduzi, Mapuri ni mwanaccm Mtiifu mwenye kadi hai ya uanachama.(Namba yake kadi tutaiweka hapa)
Huyu ni Mjumbe wa kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi na ni Mzanzibar.wa Kuzaliwa.
Wasifu wake kwa ufupi huu hapa, Wasifu wake mwingine utaongezwa kwa kadri ya tutakavyopata Taarifa, hatutampunja.
Toa maoni yako.
Muhimu: Tutaendelea kuleta Wasifu wa Wajumbe wote wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania ili kila mtu awajue, hii ni kwa sababu Si kosa kisheria kuwafahamu Watumishi wa Umma, na hasa kwenye masuala ya uaminifu na uadilifu.