Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 58,046
- 92,768
- Thread starter
- #21
Mpwa ishu ni kwamba, haya masanduku yapo chini ya Ulinzi na hairuhusiwi kuchezewa kwa mtindo wowote ule, sasa huyoo aliefanya huo ujinga ni nani? Ok fine, hio ni rahisi kama unavyosema hebu angalia hio video hapo juu ya huyo Mtoto anaeshangilia ushindi wa chama chake, huyu nae kafundishwa? Kama ni hivyo basi kazi tunayoHivi ni kazi kubwa sana kuwachukua watoto kama hao kuwaambia wachovye vidole kwenye wino, kisha uwaambie wapige picha ili viodle vionekane??!! Sio kazi ngumu kabisa hasa ukiwa umebobea kwenye propaganda.
Lolote linawezekana nchi hii.