Wadi mpya Muhimbili 'hazina vyoo'!

Kuongozi watu ambao walishazoea mfumo wa majizi ni kazi kubwa sana
Kweli kabisa, hata ile timu yote aliyoiteua wengi alikuwa nao kwenye serikali ya awamu ya NNE iliyokubuhu katika huo wizi. Hivyo anapata shida sana ila alishaizoea
 
Akiongea kwa mbwembwe na Wazee wa Dar, rais JPM aliagiza ofisi za taasisi ya afya ya mama na mtoto zibadilishwe matumizi na kuwa wadi za akina mama walioielemea MNH mpaka kulala chini. Cha kusikitisha ni kuwa hakuna huduma nzuri ya vyoo; kwanza havitoshi (mafundi ndiyo wanajenga), havina hadhi ya kutumiwa na akina mama. Wanatumia vyoo vya nje vilivyo mbali na wadi hiyo mpya! Wamejazana kiasi ya wengine kushindwa kuvumilia na kuachia haja (ndogo) pasipo na choo.

Jamani, kuna magonjwa ya mlipuko. Fanyeni hima.

chanzo: EATV
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.
Kwanza unajichanganya mwenyewe ooh mafundi wanajenga, vilivypo havitoshi mimi nilijua hakuna kabisa. Achana na siasa maji taka jenga nchi yako nasi kilakitu kuponda tuu.
 
Hii nchi bwana..... Suala kubwa hapa ni je wadi hizo zilijengwa mahususi kwa ajili hiyo au ofisi? Kama ni ofisi basi wapeni nafasi zitajengwa!
 
Kweli kabisa, hata ile timu yote aliyoiteua wengi alikuwa nao kwenye serikali ya awamu ya NNE iliyokubuhu katika huo wizi...
UKAWA nasi tulikwenda mbali kwa kumsimamisha waziri mkuu aliyekuwepo awamu ya NNE akisaidiwa na waziri mkuu wa awamu ya TATU kiasi kwamba hadi ajenda ya ufisadi ikatuponyoka hivi hivi. Lakini leo hii tumeshasahau.
 
Akiongea kwa mbwembwe na Wazee wa Dar, rais JPM aliagiza ofisi za taasisi ya afya ya mama na mtoto zibadilishwe matumizi na kuwa wadi za akina mama walioielemea MNH mpaka kulala chini. Cha kusikitisha ni kuwa hakuna huduma nzuri ya vyoo; kwanza havitoshi (mafundi ndiyo wanajenga), havina hadhi ya kutumiwa na akina mama. Wanatumia vyoo vya nje vilivyo mbali na wadi hiyo mpya! Wamejazana kiasi ya wengine kushindwa kuvumilia na kuachia haja (ndogo) pasipo na choo.

Jamani, kuna magonjwa ya mlipuko. Fanyeni hima.

chanzo: EATV
kwa taarifa yako hii style ni maarufu sana pale Mango garden kwenye bendi ya twanga pepeta , inaitwa kanyaga twende .
 
Hivi mleta Uzi unajitambua wewe? Sasa hapa unamsimanga magufuli au unabeza maagizo yake? Hivi unajua kama yeye a naweza kutibiwa kokote na ukoo wake wote?
Unadhani magufuli anafanya hayo yote kwa sababu ya Nani kama sio wewe na Mimi ? Hujui Leo au kesho atalazwa pale mama yako,Dada yako,shangazi yako ?
Sidhani kama mleta Uzi ni mtanzania
 
UKAWA nasi tulikwenda mbali kwa kumsimamisha waziri mkuu aliyekuwepo awamu ya NNE akisaidiwa na waziri mkuu wa awamu ya TATU kiasi kwamba hadi ajenda ya ufisadi ikatuponyoka hivi hivi. Lakini leo hii tumeshasahau.
Hivi baada ya Uchaguzi kupita huwa wanajadiliwa wagombea au wale waliojitangazia ushindi? Maana nchi haiwezi kuhangaika Leo na Mgwira, Dovutwa au Lowassa hata kama watahamia Kanada
Lakini walioko madarakani ndio wenye kujadiliwa, kuchunguzwa na kuchukuliwa hata wakizembea. Kuendelea kulinganisha ambao hawapo madarakani kama utetezi no kutojiamini au kuwaogopa hao walio kosa nafasi
 
Akiongea kwa mbwembwe na Wazee wa Dar, rais JPM aliagiza ofisi za taasisi ya afya ya mama na mtoto zibadilishwe matumizi na kuwa wadi za akina mama walioielemea MNH mpaka kulala chini.

wonders of hapa kazi tu. si ajabu next time akikutana na wazee atabadili al muntazir & tambaza secondary schools kuwa wodi ..
 
Hivi baada ya Uchaguzi kupita huwa wanajadiliwa wagombea au wale waliojitangazia ushindi? Maana nchi haiwezi kuhangaika Leo na Mgwira, Dovutwa au Lowassa hata kama watahamia Kanada
Lakini walioko madarakani ndio wenye kujadiliwa, kuchunguzwa na kuchukuliwa hata wakizembea. Kuendelea kulinganisha ambao hawapo madarakani kama utetezi no kutojiamini au kuwaogopa hao walio kosa nafasi
Ha ha ha.
 
Akiongea kwa mbwembwe na Wazee wa Dar, rais JPM aliagiza ofisi za taasisi ya afya ya mama na mtoto zibadilishwe matumizi na kuwa wadi za akina mama walioielemea MNH mpaka kulala chini.

Cha kusikitisha ni kuwa hakuna huduma nzuri ya vyoo; kwanza havitoshi (mafundi ndiyo wanajenga), havina hadhi ya kutumiwa na akina mama. Wanatumia vyoo vya nje vilivyo mbali na wadi hiyo mpya! Wamejazana kiasi ya wengine kushindwa kuvumilia na kuachia haja (ndogo) pasipo na choo.

Jamani, kuna magonjwa ya mlipuko. Fanyeni hima.

Chanzo: EATV
Wewe inawezekana unatumia makalio kufikiri pamoja na hiyo EATV.kwa hiyo ulitaka wagonjwa waendelee kulala chini kwakuwa hakuna vyoo?.hivi huoni kama wanaweza kutumia vyoo vilivyo kwenye ward zingine tofauti na ile wanalala?
 
Akiongea kwa mbwembwe na Wazee wa Dar, rais JPM aliagiza ofisi za taasisi ya afya ya mama na mtoto zibadilishwe matumizi na kuwa wadi za akina mama walioielemea MNH mpaka kulala chini.

Cha kusikitisha ni kuwa hakuna huduma nzuri ya vyoo; kwanza havitoshi (mafundi ndiyo wanajenga), havina hadhi ya kutumiwa na akina mama. Wanatumia vyoo vya nje vilivyo mbali na wadi hiyo mpya! Wamejazana kiasi ya wengine kushindwa kuvumilia na kuachia haja (ndogo) pasipo na choo.

Jamani, kuna magonjwa ya mlipuko. Fanyeni hima.

Chanzo: EATV
Ndani ya masaa 24
Haja ni dak 5 hadi 10
Kupumzika ni 23 hrs
 
kwa wale tuliopo hapa tunajua vizuri mazingira ya hapa yalivyo kikweli hii wodi ya magufur haikutakiwa kabisa kuwa pale na alipo amuru mkuu,yaani kuna umbali mkubwa sana kutoka hapa kwe wodi hii mpaka wanapohifadhiwa watoto wachanga ni mbali mno,kutoka hapo yaani pale wanapoenda kunyonyesha wanapiga safari za kutosha kwa siku,sa kwa wale waliozaa kwa kisu cjui inakuwaje,nafikiri muheshimiwa angewaagiza wahusika watafute eneo mwafaka kwa kazi hio nafikiri kwa mamlaka yake angepwa tu sehemu lakini kwa yy kurecomend lile jengo mi naona itakua tabu sana kwa hao wazazi, tunakubali kwamba muheshimiwa na kiongozi mzuri lakini kwahili la kufanya kila kitu yeye ndo anajua kuliko wengine cjui km ndo utawala bora,nafikiri awape nafasi mawaziri wake na makatibu wake nao watimize majukumu yao kwa naamini nao wana mawazo mazuri tu ya kiutendaji
 
Akiongea kwa mbwembwe na Wazee wa Dar, rais JPM aliagiza ofisi za taasisi ya afya ya mama na mtoto zibadilishwe matumizi na kuwa wadi za akina mama walioielemea MNH mpaka kulala chini.

Cha kusikitisha ni kuwa hakuna huduma nzuri ya vyoo; kwanza havitoshi (mafundi ndiyo wanajenga), havina hadhi ya kutumiwa na akina mama. Wanatumia vyoo vya nje vilivyo mbali na wadi hiyo mpya! Wamejazana kiasi ya wengine kushindwa kuvumilia na kuachia haja (ndogo) pasipo na choo.

Jamani, kuna magonjwa ya mlipuko. Fanyeni hima.

Chanzo: EATV
Mkuu jipeleke pale PSY unit wakakucheck akili,kama ziko sawa wewe ni miongoni mwa walewanaotaka kukwamisha na unastahili KUBOMOLEWA.
 
Back
Top Bottom