Umesema hazina vyoo na mafundi ndio wanajenga, sasa hapo tatizo liko wapi so watajenga vitaisha na kinamama wataanza kutuma...kumbuka zilikuwa ofisi na sasa zimekuwa wodi huoni lazma kuna mabadiliko yafanyake ili ofisi hizo zifanye kazi mpya, au ulitaka Magu awe kama Mungu aseme na sasa ofisi ziwe wodi na ghafla kila kitu kiwe sawa..Akiongea kwa mbwembwe na Wazee wa Dar, rais JPM aliagiza ofisi za taasisi ya afya ya mama na mtoto zibadilishwe matumizi na kuwa wadi za akina mama walioielemea MNH mpaka kulala chini. Cha kusikitisha ni kuwa hakuna huduma nzuri ya vyoo; kwanza havitoshi (mafundi ndiyo wanajenga), havina hadhi ya kutumiwa na akina mama. Wanatumia vyoo vya nje vilivyo mbali na wadi hiyo mpya! Wamejazana kiasi ya wengine kushindwa kuvumilia na kuachia haja (ndogo) pasipo na choo.
Jamani, kuna magonjwa ya mlipuko. Fanyeni hima.
chanzo: EATV
Qunfaya yaquunUmesema hazina vyoo na mafundi ndio wanajenga, sasa hapo tatizo liko wapi so watajenga vitaisha na kinamama wataanza kutuma...kumbuka zilikuwa ofisi na sasa zimekuwa wodi huoni lazma kuna mabadiliko yafanyake ili ofisi hizo zifanye kazi mpya, au ulitaka Magu awe kama Mungu aseme na sasa ofisi ziwe wodi na ghafla kila kitu kiwe sawa..
wakina mama wanalalamika. tena mmoja kasisistiza, 'maamuzi yawe yanafanyika kwa umakini'Umesema hazina vyoo na mafundi ndio wanajenga, sasa hapo tatizo liko wapi so watajenga vitaisha na kinamama wataanza kutuma...kumbuka zilikuwa ofisi na sasa zimekuwa wodi huoni lazma kuna mabadiliko yafanyake ili ofisi hizo zifanye kazi mpya, au ulitaka Magu awe kama Mungu aseme na sasa ofisi ziwe wodi na ghafla kila kitu kiwe sawa..
Akiongea kwa mbwembwe na Wazee wa Dar, rais JPM aliagiza ofisi za taasisi ya afya ya mama na mtoto zibadilishwe matumizi na kuwa wadi za akina mama walioielemea MNH mpaka kulala chini. Cha kusikitisha ni kuwa hakuna huduma nzuri ya vyoo; kwanza havitoshi (mafundi ndiyo wanajenga), havina hadhi ya kutumiwa na akina mama. Wanatumia vyoo vya nje vilivyo mbali na wadi hiyo mpya! Wamejazana kiasi ya wengine kushindwa kuvumilia na kuachia haja (ndogo) pasipo na choo.
Jamani, kuna magonjwa ya mlipuko. Fanyeni hima.
chanzo: EATV
Au vipi!!!Vyoo si vitajengwa, kwani tatizo liko wapi?
Niko hapa MNH naangalia pilika zinavyoendelea. Hakuna nurses wa kutosha kuwa Na ward nyingine ghafla. Hawa kina mama wanaweza kupata tatizo wakiwa wenyeweSisi yetu macho na masikio.
Mijipu inajipendekeza kupitia njia mbali mbali ila jamii inaitolea nje. Kila maamuzi ya haraka lazima yawe na changamoto vyoo ni issue ndogo inayosolvika kulinganisha na mama mjamzito kulala chiniKulala chini ktk wodi ambayo ina choo au kulala ktk kitanda safi ktk wodi ambayo iko mbali na choo bora nini????