Wadau nifanyeje wanipe mafao yangu?

Kuna sheria inasema huwezi kustaafu kabla ya miaka 55?
Kama ipo basi inabidi ujistaafishe kwa hiari. ....
Naona kufumuka/kuanzishwa kwa mifuko ya hifhadhi binafsi huko mbeleni....yenye sheria legevu kwa manufaa yetu wote.
 
Una uhakika ama ndio unaamini poyoyo za mitaani na hao wafanyakazi feki wa nnsf.....mmmmh ?
Kiongozi NSSF wanatoa wala hawajasitisha. Kwa sasa wanasubiri mpaka ipite miezi 6 uache job ndo unafungua madai.NSSF wanatoa
 
Leo nilikuwa pale ubungo plaza, nimeuliza kuhusu mafao wadai mafao Yanatolew kama kawaida ila mpaka utimize vigezo watakavyokupa,hii statement imenichosha kweli.
 
Kiongozi NSSF wanatoa wala hawajasitisha. Kwa sasa wanasubiri mpaka ipite miezi 6 uache job ndo unafungua madai.NSSF wanatoa
Mkuu mbona kuna jamaa kakaa miezi 6 aliporudi kapigwa miezi 2 tena.,hii inakuwaje sasa!?
 
Back
Top Bottom