Wadau Mwenye ufahamu juu ya gari za Audi a4 tafadhali

Umewahi nunua Gari Singapore au story tu za JF na kwenye vijiwe vya Kahawa?
Nitanunuaje gari huko Singapore wkt wanyonge hata mlo wetu mmoja ni shida?

Nimekuachia wewe fogo utupe feedback ya utamu wa magari ya huko Singapore.
 
Wewe tu ulikuwa hujui wapi upate spares. Mimi nauza spares za hayo magari nina vitu vingi sana vya audi a4.
1.service parts zote eg oil filter,air filter,fuel filter,pollen filter
2.suspension parts zote eg shock absorbers,tie rod end,rack ends,control arms,stabilizer links,wishbone bushes
3.fuel pumps
4.water pump
5.mass air flow sensor
6.oxygen sensor
7.radiator
8.radiator fan
9.timing belt
10.cylinder head gasket
11.top cover gasket
12.spark plugs
13.ignition coil
14.expansion tank
15.cv joints
16.thermostat with housing
etc etc etc
Naomba kujua bei fuel pump ya Audi A3
 
Ukichukua nitafute nitakuletea spare yeyote hadi mwanza. Kwanza ukiitoa tu njoo nikuuzie service parts ufanye service kabla ya kusafiri nayo. Ni gari nzuri sana sijui umechagua engine ipi 2.0fsi au 1.8T au 1.9TDi?
naomba namba yako tafadhali
 
Cruise auto spare ni wauzaji wa spear party za magari
Jeep,
BMW,
Audi,
Land rover,
Porsche,
Volkswagen,
Chrysler,
Range/Land rover

Duka linapatikana MAKAO MAPYA,EDEN ROAD jirani na cafe laziz restaurant,Arusha

Kwa mawasiliano piga +255743805465,+255786050747
Email:cruisespares@gmail.com
Fb&IG:cruiseautospareparts

Pia usisite kuwasiliana nasi pia tunatoa ushauri
 
Hakuna kiwanda kinachozalisha magari yenye mapungufu kutumika, spare zisiwepo duniani, isipokuwa hofu yetu sisi tumekariri aina ya magari kununua kwamba spare, mafuta, durability, n.k na sababu zingine za kiuchumi. Niseme hivi kama magari ya toyota ni cheap na easy to maintain yakiharibika kwanini bado yapo kwenye magogo na mawe huko kwenye magereji !? Jenga itikadi ya kununua gari ulipendalo na unaloweza kumudu kulihudumia kufuatana na kipato chako kilivyo. Ni mtizamo tu japo.....

Watalaam wa magari wanakuja
kaka naomba namba yako au nicheki 0765775963
 
Ukichukua nitafute nitakuletea spare yeyote hadi mwanza. Kwanza ukiitoa tu njoo nikuuzie service parts ufanye service kabla ya kusafiri nayo. Ni gari nzuri sana sijui umechagua engine ipi 2.0fsi au 1.8T au 1.9TDi?
naomba namba yako tafadhali yangu ni 0765775963
 
Hii kitu inachomoka kama ndege. Kuna safari moja niliongozana nayo kutoka Arusha kuja Dar. Zile sehemu za kujiachia mwamba alikuwa anateleza kama nimesimama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalam aleykum ndugu na jamaa.. twende moja kwa moja kwenye Hoja.

Ninavutiwa miaka mingi sana na hizi Audi a4 na mungu akijalia kabla mwezi haujaisha natarajia kuchukua moja beforward. Wenye elewa na hizi gari mnisaidie mawili matatu je ni gari inayomudu masafa marefu kwakua naishi mwanza na trip zangu ni Dar-Mwanza-Musomo na vip upatikanaji wa speares kwa miakoni mbali na Dar. kwasasa natumia brevis, Natanguliza kheri

NB mafuta sio tatizo wakuu. gari ni hii.

Ulipata?
 
Back
Top Bottom