SPECIAL TMN
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,111
- 807
Double standard ni jipu.
Kila mtu ana matazamo wake katika maisha. Kila mtu anajichagulia aonavyo sawa na itampa amani na mafanikio katika maisha. sio wote wanathamini ndoa tena ndoa za maigizo na kukaa ukidai umeoa au kuolewa unachepuka kutwa. Unaishi ndani ya ndoa hujui hata wajibu wako. Wewe kama ndoa ni first priority ikakupa mawazo ufikiriyo ni wewe na sio wengine wawazavyo.Nyie ndo manaoelewa na kuoa uwe na ndoa uonekane umeoa au kuolewa lkn ukweli uano mwenyewe unaishi Zaidi jehanamu. Acha watu waishi walivyochagua Kuishi maadamu hawajataka msaada kwakoKwanza niombe radhi kwa yoyote ambaye uzi huu utamgusa moja kwa moja kwani lengo langu si kumsema mtu bali nikusema mambo ambayo yanatokea katika maisha yetu ya kila siku tunayaona ndio maana imebidi niandike ili tubadilishane mawazo
Hii hasa kwa wadada ambao ni watumishi haijalishi mtumishi wa umma au sekta binafsi ambao hawajaolewa na ambao kwa bahati mungu aliwasaidia wakazaa ila hawana ndoa wanaishi na watoto wao bila baba zao
Kiukweli hakuna kundi linaloteseka kimahusiano kama hili kundi na sababu inayowafanya wateseke kwa mtazamo wangu ni kuwa wengi si wa kweli
Kutokuwa kwao wakweli basi wengi ujikuta wanangukia pua nakujilamu mwishowe hujikuta mapenzi yanawapotezea furaha ya maisha kwani ule uongo alioongopea awali hujakujizihilisha wazi ni uongo mbele ya watu aliokuwa nao kila siku hivyo huona aibu
Uongo wao ni nini ipo hivi wengi hawa wadada has ambao hawana ndoa kipindi anaanza kazi wengi wao umri huwa bado cause ndio kwanza wengi huwa wametoka shule so ubinti bado upo na kwakua wengi wao huwa wanaenda fanyia kazi miji ambayo si wenyeji basi huwa wapo Peke yao yao hivyo basi pale ofisini au nje ya ofisi anaweza kukuta vijana wa kiume ambao hawajaoa
Kwaiyo binti anapokuwa anatongozwa na hawa vijana ambao nao wanaanza maisha mabinti wengi huwa hawaelewi wengi hudanganya oooh na mtu wangu yupo sijui wapi wapi mda unaenda miaka inakatika binti yupo tu kwakua umri si rafiki wale vijana aliowakataa anapata wenzi wananzisha familia yule binti yupo tu na drama zake Mala na mchumba sijui nini nini at the end unamuona dada ana mimba ukiwambia tuonyeshe shemeji ataki ooh shemeji yenu yupo mbali kizazi mtamjua siku zinaenda mala anazaa Mala mtoto anaanza shule baba wa mtoto hajui
Siku zinaenda unasikia yule dada analopoka ooh wanaume waongo sijui n mimi sasa nalewa na yoyote yule kwakua wale vijana alioanza nao kazi washaoa wapo bize na familia zao hawamtilii manani tena
Mwisho wa siku unatembelea jf unakuta kajilipua umu anatafuta mume na yupo serious kweli
My take
Dada zangu acheni drama drama zenu kuweni wawazi maisha mazuri yanatengenezwa huyo huyo unayemuonahapo hana kitu unamdharau na kuona huwezi fanya naye maisha na kutaka mwenye maisha unajidanganya wanaume wengi waliofanikiwa maisha ukiwaona asilimia 99 wanafamilia zao
Kwaiyo usivunge jilipue na uyo uyo hapo acha mbwebwe za chuo za nyumbani acha mawazo ya gari nzuri nyumba nzuri bila msoto komaaaa na uyo uyo hapo muanze mipango ya kuwa n nyumba nzuri gari nzuri pesa bank nk pia familia nzuri
Badilikeni acheni mbwebwe
Mimi kazini kwetu kuna wadada kama watano hivi wanaishi kwa hizo drama. Wanaishi kwa ndoto za kuolewa na wafanyakazi wa bank, TRA n.k huku wakitukataa walimu wenzao. Sasa na sisi tumeamua kuachana nao huku tukiamini baada ya muda mfupi tutawaita single mums
Ndio ivo huwa wanapenda kuandaliwa hawataki washiriki kutaduraKuna kaka nilifanya nae kazi mwenyeji wa Bukoba (Mhaya). Alinieleza alipomaliza shule, post yake ya kwanza ilikuwa DSM. Hakumfahamu mtu yeyote Dar, aliishi guest mpaka akapata chumba, alianza kununua vitu vidogovidogo. Kanisani alikutana na binti wa nyumbani, roho yake ilimpenda sana. Walianza mawasiliano, alimtamkia binti nia yake, siku aliyomkaribisha binti nyumbani, binti alimuuliza kwa dharau sana, yaani unanioa unilete kwenye chumba?
Toka pale mawasiliano yao yalikufa. Ile hali ilimpa ari kaka ya kuanza kuuliza bei ya kiwanja, alinunua kiwanja akajenga. Alikwenda nyumbani likizo akapata mchumba kule baada ya kufunga ndoa alimleta mke DSM. Kazini mambo yalikaa vizuri alinunua kiwanja cha pili. Akalijenga nyumba ya kupangisha. Alipoanza kutafuta mpangaji, huwezi kuamini alipigiwa simu na yule dada mchumba wa kwanza anatafuta nyumba. Jibu unalo mwenyewe uso wa dada ulikuwaje.
Kujifanya hutaki ndoa ni kuleta maigizo tu. Kila binadamu aliyekamilika kimaisha anataka ndoa...Unless wewe haupo sawa kichwani...Ila tumewazoea...mkikaa kufika miaka 30+ bila ndoa mnaanza ngonjera zenu kuwa, "Sio kila mtu anataka ndoa"...Ila mioyoni mwenu mmejaa "Stress" za kutokuolewa.Kila mtu ana matazamo wake katika maisha. Kila mtu anajichagulia aonavyo sawa na itampa amani na mafanikio katika maisha. sio wote wanathamini ndoa tena ndoa za maigizo na kukaa ukidai umeoa au kuolewa unachepuka kutwa. Unaishi ndani ya ndoa hujui hata wajibu wako. Wewe kama ndoa ni first priority ikakupa mawazo ufikiriyo ni wewe na sio wengine wawazavyo.Nyie ndo manaoelewa na kuoa uwe na ndoa uonekane umeoa au kuolewa lkn ukweli uano mwenyewe unaishi Zaidi jehanamu. Acha watu waishi walivyochagua Kuishi maadamu hawajataka msaada kwako
sasa wenye ndoa na machozi kila siku hawana stress. Unachovalue wewe sio kila mtu anavalue. jiamini ishi maisha ya kujiamini sio kusukumwa na hisia za watu. Yawezekana unafikria wanastress we ndo unazo zinakutafuna kwa sababu ya kuwa mfungwa wa mawazo yako.Kujifanya hutaki ndoa ni kuleta maigizo tu. Kila binadamu aliyekamilika kimaisha anataka ndoa...Unless wewe haupo sawa kichwani...Ila tumewazoea...mkikaa kufika miaka 30+ bila ndoa mnaanza ngonjera zenu kuwa, "Sio kila mtu anataka ndoa"...Ila mioyoni mwenu mmejaa "Stress" za kutokuolewa.
Wanamakengo makubwa ambayo hawakidhi vigezo
Hapo ndiyo tunapokosea kufanya mipango kupitia mifuko ya wengineMkuu najua ulimaanisha Malengo na sio 'wanamakengo.
Mbaya zaidi wanafanyia Malengo kwenye mali ya maboyfriend/mashuga dady yao/wao bila kuwaza hao nao walikuja bila kitu duniani
Nimependa ulivyochapia- MAKENGOWanamakengo makubwa ambayo hawakidhi vigezo
Bichwa lakoNimependa ulivyochapia- MAKENGO