kenshi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,976
- 1,967
ni kweli ume comment madini matupu. na ukichaa unaanziaga hapo unapo taka mtoto alafu hupati ukikumbuka ulitoa mimba unajiona una hatia kinachofatia moja haikai mbili haikai ni vita. ukiona mwenzio amepost picha ya mtoto wake unajihisi anakusema wewe usiye na mtotoNowadays, huwezi hata kutofautisha wadada wenye watoto na wasio nao, tena wanaoshusha engine wengine wamechoka kuliko hata waliozaa
Afadhali wazae tu sababu yawezekana that's the only gift umepewa, ikifika siku unamuhitaji mtoto anakosekana