Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,377
- 9,297
wqnaume mnajua kujitetea
ila daima mwanamke kaumbiwa lawama na mwansume huwa anawekwa right side
katika ndoa mwanamke akifanya jema hapewi pongezi anatafutwa mume kisha anasifiwa
ila likitokea baya lililosababishwa na mwanaume moja kwa mojs atatajwa mwanamke ndie mbaya.
hivo wanaume wa humu mtuheshimu sana hamjui nini kinaozesha akili zetu kisa uvumilivu
hamtambui tunawazaa na kuwapigania muishi maisha borana sio bora maisha
endeleeni kuhujumu ila hamjui nini mwqnamke anawazia watoto wake.