Wadada: Unatongozwa asubuhi, jioni ''nina shida ya 20,000''

Heshima kwenu wadau,

Nikamtazamo tu wakuu,

Eti nyie wadada wa siku izi mkoje! Yaani unatongozwa asubuhi inafika mchana alafu hata jibu lenyewe hujatoa unaanza eti " nikwambie kitu.. sijui utanisaidia? Mwenzio nina shida ya 20000''. Ebo mnaboa sana, hivi mnakuwa mnawatega watu au ndo mtindo mpya wa kusajiliwa?
kwani wewe ulitakaje.... omba wewe basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom