Wadada tusilazimishe ndoa

Swali lako kwa mazingira haya tunayochanganyikana na warembo kutoka kila mkoa na wa aina tofauti tofauti naweza kusema ni la mtego na nikilijibu vibaya litanicost. SIJAOA MIMI.


Ila mbona unajua bhna au unataka tu kuniexpose hapa?
hahaha mm sijui usinipe dhambi kabisa kwan kama umeoa nn kwani maswali yangu ndio yameanza la kwanza umeshaanza kulikwepa
 
Huyo haelewi maana ya kujipanga, atakua amekaririi. Ndoa inahitaji utayari ki fikra na kisaikolojia pia, sio kiuchumi tuu.(marriage is readiness)
 
mimi nina swali, sasa uchumba wa nini kama mwisho sio kuoana?
 
Mwanamke akilazimisha ndoa anaonekana desperate, wanaume wengi hatupendi desperate women.

Wengi huanza kujiuliza,huyu ana matatizo ganimpaka awe desperate na ndoa hivi?

Wanawake wanaolazimisha ndoa wana jina lao kabisa, wanaitwa "Bridezilla". Ni kama Godzilla fulani hivi linalotakakulazimisha kuolewa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…