Wadada tusilazimishe ndoa

Uchumba ni stage ya penzi lilikuwa likadumaa na kukomaa refer upepari uliokomaa ni ubeberu.
hahahahahah mie ukishafika uchumba halafu uniletee za kuleta utafidia. Nitahesabu tuliduu mara ngapi na utalipa zote.

Chaa cha kunichakaza mtoto wa mwenziooo
 
Jaman wadada kuwa vzr kiuchumi sio ndio tayar kuoa, hayo maswal yanatuchosha mtaan yaani kila KE ukimgusia tu unasikia unamalengo gani na mm. Sasa kwan kila KE ataolewa? Wengine watabaki
watabaki kudanga ungemalizia tu mensaah
 
Ndoa si mchezo ila kwa nyakati hizi upatikanaji wa mbunye umekuwa rahisi wanaume wengi hawataki kuoa. Ni kumbunyeka na kusepa kuepuka kero za ndoa
 
Ndoa ni Kitu kingine kabisaa, sio suala la kumlazimisha mtu. Kumbuka huyo unaejilazimisha kwake utaishi nae miaka yako yote ilobaki, sasa kama hakupendi mtaishije humo ndani????
Hii tabia wanayo wadada wengi kwa kweli hasa wakiona kijana ana uwezo. Tunasahau kuwa ndoa ni zaidi ya mali. Hili linapelekea ndoa nyingi kukosa mwelekeo sababu mmoja wao hakuwa tayari.

Jamaniiii, ndoa huwa hailazimishwi kabisaa. Ukilazimisha madhara yake ni makubwa mnoo, inawaathiri hata watoto wasio kua na hatia.
Tubadilike kama ndoa yako ipo ipo tuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom