sijui nani
JF-Expert Member
- Jan 5, 2016
- 297
- 308
Kwa akili yako hiyo hizo pesa hupati na wala mwanamke wa kumfanya hivyo kumzalisha akulelee vitoto vyako vikifikisha 11 na 12 umtimue humpati. Mungu wetu anakusikia. Eti mtu wa kuja kula kwako milele hutaki Dah.Kuoa na kuolewa hakunaga umri wala kabila. Ndoa nzuri ni za mkataba tu. Upo kwangu, nkuzalishe viwili tu. Uvilee vifikie 11 na 12. Niachie vichick vyangu timka. Hata nkikukuta huko machinjioni, sikujui, hunijiui. Maisha walawala.
Kazi ya kwenda leta mtu wa kuja kula kwangu milele wameachiwa kina sura mbaya. Mi sisemi, pesa yangu ndo yasema, nikikualika uje kwangu lazima nikupime mwenyewe, sio vyeti feki vya siku hizi