love you
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 727
- 728
Ndiyo..Hiyo Avatar ni yako ?
Ndiyo..Hiyo Avatar ni yako ?
HahaaaaHahahaa ka msemo kamenifurahisha
Amini na inawezekana kabisa.Sitaki kuamini. Yaani mwanamke kwenye raha ndio hamtaki mwanaume.
Ni katika dunia hii tuliyonayo ama nyingine.
Lazima kuna kitu nyuma ya pazia
Nna wasiwas huyo mwanaume alianza kubadilika demu akaona isiwe shida akasepaHii imekaaje wakuu? Kuna wanawake wa aina flani kwa kweli nashangaa.
Hapa kazini kuna jamaa fulani yupo kitengo tofauti na mimi, ila tunasalimiana! Jamaa mtanashati na mpambanaji kisawa sawa. Kupitia story za jamaa yake wa kitengo hicho,
Nasikiaga alipitia maisha magumu sana kuanzia kusoma, maisha ya kutafuta kazi e.t.c, Sasa wakati anatafuta kazi maisha ndo yakiwa magumu haswaa ndo alikutana na mrembo fulani wakaivana.
Huyu mrembo alikuwa mvumilivu ajabu, na huyu mrembo kwao sio kwamba wana maisha mazuri La Hasha ni kawaida tu ila hawana njaa na hakufanikiwa kufika chuo so yupo tu nyumbani.
Miaka imeenda kama minne hivi jamaa hajapata kazi na mwanamke yupo tu, sometimes anaenda gheto kwa mshikaji na buku buku hizi au buku mbili na mchele kaiba home kwao wanapika maisha yanaendelea.
Cha ajabu jamaa kaja kapata kazi, maisha yakanyooka na nyota ikamuendea vizuri kipindi kile mikopo nje nje kachukua mkopo kajenga kanyumba kadogo fresh na kigari cha kutembelea, hapo ndo maajabu yakatokea, si mwanamke akamuacha bila sababu ya maana! Jamaa ashaweka yule ndo mke wake wa baadaye kwa waliyopitia ila mwanamke kakataa kata kata!
Sababu anazosema ni eti anaona havutiwi tena na yeye, na anaona kama hamjali kama zamaniwanawake wa namna hii sijaelewa huwa wanakuwa wanakuhurumia ukiwa na matatizo au ni vipi? Au ni wale wanaletwa na Mungu ili usijiue kwa matatizo ya dunia???
Kuna anayeweza fafanua hii Scenario humu???
Sababu hasa ya kumuacha? kwani unaishi na ndugu yake au na yeye?Amini na inawezekana kabisa.
Mimi nilikuwa na mpenzi wangu, nilikutana nae akiwa na kazi nzuri hivyo sikuwahi kupata shida nikiwa nae, alinipa kila kitu, ni mwanaume ambaye siwezi kumsahau katika maisha yangu.
ghafla ile kazi ikaisha, ikawa kila kitu nafanya mimi, majukumu yote ya familia, nilizidisha kumpenda zaidi ya mwanzo, tena sana kilichotokea ndugu yake akawa anasema nilimpendea pesa tu hivyo lazima nitamuacha, sikufanya hivyo nilijitahidi hata nikipata pesa nampa zote yeye ndio aamue cha kufanya.
Baadae akapata kazi nzuri zaidi ya ile ya kwanza na akaniambia sasa mama huu ndio wakati wako utasahau shida zote.
Huwezi kuamini hapo ndio nilimuacha. Sio kwamba sikumpenda ila nilichogundua ndugu yake hakunipenda kabisa tangu mwanzo. Pia alidhani nimempendea pesa. Sasa niliamua kumuacha akiwa ana pesa zaidi ya mwanzo
Hiyo avatar itakuwa yako si yake!Hiyo Avatar ni yako ?
Unaamini kweli ulikua unampenda wakati unamuacha?Amini na inawezekana kabisa.
Mimi nilikuwa na mpenzi wangu, nilikutana nae akiwa na kazi nzuri hivyo sikuwahi kupata shida nikiwa nae, alinipa kila kitu, ni mwanaume ambaye siwezi kumsahau katika maisha yangu.
ghafla ile kazi ikaisha, ikawa kila kitu nafanya mimi, majukumu yote ya familia, nilizidisha kumpenda zaidi ya mwanzo, tena sana kilichotokea ndugu yake akawa anasema nilimpendea pesa tu hivyo lazima nitamuacha, sikufanya hivyo nilijitahidi hata nikipata pesa nampa zote yeye ndio aamue cha kufanya.
Baadae akapata kazi nzuri zaidi ya ile ya kwanza na akaniambia sasa mama huu ndio wakati wako utasahau shida zote.
Huwezi kuamini hapo ndio nilimuacha. Sio kwamba sikumpenda ila nilichogundua ndugu yake hakunipenda kabisa tangu mwanzo. Pia alidhani nimempendea pesa. Sasa niliamua kumuacha akiwa ana pesa zaidi ya mwanzo
Mimi inanipa mfadhaikoNdiyo..
Polee. .Mimi inanipa mfadhaiko
Umeongea ukweli mtupu, shida ipo kwa mwanaumeWewe huyo jamaa humjui kama huyo demu anyo mjua
Atakua amechange kweli kwa kupata vipesa mboga na ndio sababu ya kukataliwa na dem huyo,wanawake sio wajing kiasi hicho akukubali wakati wa dhiki na akukatae wakati wa raha
Huyo Jamaa lazima ajicheki tabia yake imebadilikia wapi na abadilishe mapungufu yake
kwahiyo wewe unaishi na mume kwa kupendwa na ndugu zake? hata wewe hukua muaminifu unalazimisha kupendwa na asiyekuoaAmini na inawezekana kabisa.
Mimi nilikuwa na mpenzi wangu, nilikutana nae akiwa na kazi nzuri hivyo sikuwahi kupata shida nikiwa nae, alinipa kila kitu, ni mwanaume ambaye siwezi kumsahau katika maisha yangu.
ghafla ile kazi ikaisha, ikawa kila kitu nafanya mimi, majukumu yote ya familia, nilizidisha kumpenda zaidi ya mwanzo, tena sana kilichotokea ndugu yake akawa anasema nilimpendea pesa tu hivyo lazima nitamuacha, sikufanya hivyo nilijitahidi hata nikipata pesa nampa zote yeye ndio aamue cha kufanya.
Baadae akapata kazi nzuri zaidi ya ile ya kwanza na akaniambia sasa mama huu ndio wakati wako utasahau shida zote.
Huwezi kuamini hapo ndio nilimuacha. Sio kwamba sikumpenda ila nilichogundua ndugu yake hakunipenda kabisa tangu mwanzo. Pia alidhani nimempendea pesa. Sasa niliamua kumuacha akiwa ana pesa zaidi ya mwanzo
hata mimi sijaelewa kwahyo mke wangu aniache kisa kaka yangu hampendi dah anataka ampende ili amfanyejeUnaamini kweli ulikua unampenda wakati unamuacha?
Unaamini kuwa ulimuacha kwa sababu ndugu yake hakukupenda?
Endelea kujidanganya lakini tafadhali usitudanganye.