Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,808
- 2,911
- Thread starter
- #41
dada naona unaleta ujinga wako haya siku njema.. *****Mtoa mada ni mjnga sana ulishindwa nn kumwambia acha tabia za kike ww kuwa mwanaume.
dada naona unaleta ujinga wako haya siku njema.. *****Mtoa mada ni mjnga sana ulishindwa nn kumwambia acha tabia za kike ww kuwa mwanaume.
haya kaka poa usijali siku njema kwako.. *****Baadhi ya Wanaume wa siku hizi wambea jamani kuoneshwa paja ushakuja lalamika je angekuonyesha kitu yenyewe.
this is jf take it as a lesson undali wako kule... *****Kwani yeye aliituma public? Mbona ww ndo unatabia ya kudhalilisha watu
Leo umenena mtani na ndio ukweli wenyewe.Haya ni mambo binafsi halaf mtu hawezi kukutumia hizi vitu out of nowhere lazima mliongelea hizo mambo
dada unafiki unaanzisha wewe mwenyewe.. Jioni njema.. *****Acha unafiki, kwa nini hujamkataza siku zote kama hupendi??? Na hiyo namba ulimpa ya nini, ni namba ya emergency au?? Uliyataka mwenyewe
Bwege mwenyewe utaelendelea kuwa bwege *****Wewe kijana usituharibie mambo wengine tunapenda kuona hizo vitu...bwege ww
Mod kaondoaBila picha sitaamini
sawa dada nimekuelewa jioni njemabinafsi aija pendezwa na hii tabia yako kwa sababu huja muonya na wala huja mkataza kama una tafuta kiki sema
Soma vizuriKwanini unasema wanajiweka cheap? Sababu ya hizo picha? Au kitu gani?
haya siku njema, kalaleKweli. Itakuwa hivyo. Ila huyu jamaa naye mambo ya private anayaleta huku. Utoto unamsumbua
ntaleta chats za leo na hide jina utaona.Kweli umebugi,badala ya kukosana naye ndo unamtangaza vibaya hahahahha .
haya kaka poa usijali siku njema kwako.. *****
Tingisha mgongo ha ha ha kiuno hakijulikani kinaanzia wapi wala kifua kimeishia wapi haya hayatuhusu siye flat screen ... mleta mada sema baadhi ya wadada wengine ukiomba picha tunakuzungusha miaka na miakaWatu na mavyura yao vip miss chaga akina sisi wenye flat screen tungeweza hii shoo??
Hivi kwa dunia ya leo, hii ya kidigitali isiyo na siri, mtu anaanza vipi kutuma utupu wake kwa mwenzake??? Bahati nzuri huwa mnakutana na wanaume wenye staha, wanawachukulia na mapungufu yenu, lakini sidhani kama ni akili.Baadhi ya Wanaume wa siku hizi wambea jamani kuoneshwa paja ushakuja lalamika je angekuonyesha kitu yenyewe.
Hivi kwa dunia ya leo, hii ya kidigitali isiyo na siri, mtu anaanza vipi kutuma utupu wake kwa mwenzake??? Bahati nzuri huwa mnakutana na wanaume wenye staha, wanawachukulia na mapungufu yenu, lakini sidhani kama ni akili.
Hahaaa! Hata mi naonaHahahhaaha kaka ako kanifundisha majibu ya kikauzu