Wadada kwanini mnajiweka cheap kiasi hiki?

Friday Malafyale

JF-Expert Member
Jan 18, 2017
1,808
2,911
Mambo vipi, imefika hatua nimeona leo nifunguke kwenu wadada, lengo la uzi huu sio kudhalilisha mtu bali kuwaelimisha tuu.

Mimi nina mdada ambaye ni rafiki yangu toka Facebook basi nikatumiwa request akawa analike post na picha zangu.

Nisiende mbali basi badae akawa anakuja inbox tunachat sana akaomba namba zangu nikampatia basi akawa anakuja wasap sana, toka August tunachat sana. Basi Feb hii kaja tofauti.

Mara anitumie picha yupo sehemu fulani (kwa sasa yupo mkoa mmoja hapa Tz, mara yupo kitandani anioneshe mapaja basi bila hiyana namsifia tuu kutimiza furaha yake but mimi sijawahi omba picha zake hata siku moja.

Kwa mwonekano ni mwanamke kaumbika kwa wapenda makalio mubashara aah safi sana basi juzi juzi hapo kati akaja wasap mambo kunakitu nataka nikutumie ila uangalie ukimaliza kula nikamwambia tayari lakini nilikuwa sijala bado msosi wa usiku. Basi akatuma picha na video akiwa kwa Sofa yao kwao anakata mauno balaa, then akanambia niifute eti nikishaangalia.

Lakini najiuliza ladies why kwanini mnataka kujiweka cheap kiasi hiki? Mnasema wanaume tunawadhalilisha sana lakini mnaanza nyie wenyewe. Na bahati mbaya sana ana mtoto mmoja ila hajaolewa ana mshkaji wake huko mkoa mmoja kusini mwa Tz.

Wadada mnaboa sana kwa tabia zenu hizi mnajiweka cheap sana sana ndio maana wengi hamuolewi kwa tabia hizi mnapigwa tuu. Jiwe gizani acheni tabia hizo. Ipo siku ikiwa too much nitamwambia tu its a lesson to others

Mawazo ya wachangiaji ndio kitakuwa kipimo cha akili zao.
 
Na wanawake wachache mlio na akili mbovu ndo manasababisha wanawake wote wanadharauliwa hivi kumtumia mwanaume picha ya uchi ndo kunanogesha upendo jamani, embu tubadilike mengine unakuta anakubali pigwa picha ya uchi wakati mwenzake anaona kabisa amejificha ni nani aliye waroga enyi kizazi cha nyoka inaumiza sana pale ambapo ukiwaza na wewe unadada zako na utakuja kuwa na watoto wa kike yamkini alafu unaona mambo kama haya inaumiza sana
 
Mh! Wewe mwenyewe ulifurahia, kwa nini hujakata mawasiliano mda wote huo? Pia kwa nini umeweka hiyo picha yake hapo? Je kama yeye yuko huku anajisikiaje mda huu? Heshima,hekima,busara zinazidi kutoweka katika jamii ya kitanzania. Kabla ya kuleta huku ungempa somo yeye kwanza .
 
Labda mi ndo sielewi maana ya cheap, yani toka mwezi wa nane mwaka jana unamzungusha huyo mdada, anajilengesha unajifanya humuelewi na mawasiliano unaendeleza.

Sasa wale wa kununua unawaitaje, au wale unaekutana leo na kumla leo leo.

Au alikuomba ela mkuu.
 
Wanawake wenzangu tuache kujichoresha kwa hawa viumbe jamani..

picha za utupu sio Kigezo cha kupendwa ten a ndo anakudharau kwakujirahisisha.

Kama a nakupenda anakupenda tuu. .kama hakupendi hata ukivua nguo haitabadili ukweli.

Tujiheshimu nao watatuheshimu
 
Si unamwambia hupendi. Au Kama haelewi anakula block. Ila na sisi wanawake tubadilike hujatongozwa... Unajitongozesha kwa mwanaume.. Lohhhh
 
Na wewe mtumie picha zako za shule ya msingi.... au mwambie aje muimbe nyimbo za ccm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…