Wadada, jifunzeni kuwa wasiri

Nahisi wameambukizwa na wanaume wa siku hizi....unakuta kijana kapata faraga jana na dada mrembo ...ana mfotoa naikibidi anategesha video kesho yake ana onyesha kwa washirika wake na hata kushea namba ya simu ya mdada na bazazi wengine wakapite huko..
Sasa amongst audience wahabari hizo hata wadada wanakuwepo nahata kuchangia ukosoaji na usifiaji wa hiyo habari na picha.....na aibu ilivyopotea sikuhizi....ndio hao ulosema mleta mada.....ila nahisi ni season tu kama fadhion ..
..hii generation ya millenials ikifika age ya 40. Sidhani kama yatakuwepo yote haya....
Uzuri wa haya maisha kila generation huona wazazi wao ni washamba na kwahiyo kamwe ma teenager wamiaka 20 ijayo hawatafanya upuuzi wowote tunaushuhudia hivi sasa God forbid
 
"MATURITY"
 
Afu wanawake tunajuaga kurushana roho jamani. Kuna mtu anaweza akakusimulia mambo yake Eg, boyfriend wake anavyomtreat kumbe muongo mkubwa. Ndo wale wanaojinunulia hadi zawadi afu anadanganya wenzie kanunuliwa na baby. Aonekane tu yeye ndo anapendwa sana, yeye ndo anaenjoy mapenzi sana mmh, akili kumkichwa. Unaanzaje kusimulia ulivyolala na mtu mmh? What for?
Wapee wapeeee....!
 
Kuna dada mmoja yaaani yy kila akiona USO wangu ananihadhithia bwana wake kamfanyia sijui nn, yaaani mwanzo mwisho ni habari MTU wake, nikisema nichomeke story nyingine wapi anarudi pale pale, leo asubuhi kanituka ndo naamka na mistress kibao akaanza habari zake nilimfurumusha hajaamini macho yake
 
si ndio zenu hizo.. Ukishikwa ukashikika unataka kuwajulisha marafiki na ndugu wote.. Siku ukiachwa unaanza kulalamika! Mapenzi ni Jinsi Unavyoyapeleka na Kuyachukulia... Mngekuwa mnaFicha Siri kama Mnavyoficha nanihii zenu basi naamini mpaka leo tusingesikia Brenda au Luv kaibiwa bwana. Cha Ajabu Wengine wanahadithia mpaka Mikao waliowekwa
 
I hate to see her go, but i love to watch her leave/
but i keep her runnin' back n forth... Succker teen/
hahaha *just singing*
 
si ndio zenu hizo.. Ukishikwa ukashikika unataka kuwajulisha marafiki na ndugu wote.. Siku ukiachwa unaanza kulalamika! Mapenzi ni Jinsi Unavyoyapeleka na Kuyachukulia... Mngekuwa mnaFicha Siri kama Mnavyoficha nanihii zenu basi naamini mpaka leo tusingesikia Brenda au Luv kaibiwa bwana. Cha Ajabu Wengine wanahadithia mpaka Mikao waliowekwa
Hahahaa haya bana,ntabadilika mie
 
Kuna dada mmoja yaaani yy kila akiona USO wangu ananihadhithia bwana wake kamfanyia sijui nn, yaaani mwanzo mwisho ni habari MTU wake, nikisema nichomeke story nyingine wapi anarudi pale pale, leo asubuhi kanituka ndo naamka na mistress kibao akaanza habari zake nilimfurumusha hajaamini macho yake
@habari ya hapa, bado unajihisi upweke? Unaamka na mistres kibao?
...Nina dawa!!
 
Afu wanawake tunajuaga kurushana roho jamani. Kuna mtu anaweza akakusimulia mambo yake Eg, boyfriend wake anavyomtreat kumbe muongo mkubwa. Ndo wale wanaojinunulia hadi zawadi afu anadanganya wenzie kanunuliwa na baby. Aonekane tu yeye ndo anapendwa sana, yeye ndo anaenjoy mapenzi sana mmh, akili kumkichwa. Unaanzaje kusimulia ulivyolala na mtu mmh? What for?

Teh,bado kuna ile tabia ya Ku screenshot conversation zao na watu wao na kutupostia ili tuone wanavyopendwa.
 
Back
Top Bottom