Wadada: Hela mnazohongwa mnapeleka wapi?

Tuwataje marehemu wetu kwa wema,huenda mola akawafanyia wepesi huko waliko.RIP our sis.
ndo maana sijataja majina.pia imani yangu mimi Mungu hashughuliki na watu waliokuwa.anashughulika na sisi tulio hai ili tufanye mapenzi yake.
 
Asprin hubby wangu, kwanza happy new year, pili nijuze likes zangu nilizoreceivesince 2010 nilipoingia jf mpaka leo zimekwenda wapi?? tatu mbona pesa ulizonihonga nimekununulia verosa kwa hisani ya Mentor na hukuja kutoa shuhuda hapa!??
 
Haya mambo ya chumbani ntayajibu kesho usiku baada ya kupiga nyagi na wewe kutosheka na Amarula

Happy new year mke wa ODM
 
Pesa ya kuhongwa ni kama ina kilaana flan hivi,ni ngumu kuifanyia kitu cha maana sijui kwanini..utajibana wee usave lakini wapi...pesa ya kutafuta mwenyewe unaweza ukasave na kufanya vitu vya maana
 
Kuhongwa nako ni kutafuta pia wajameni,mbn ni wengi tu wamefanya ya maana kwa umalaya?
Na sasa ni waumini wazuri maeneo yao ya kuabudia?
 
Huzipeleka kwa:-
1) Waganga
2) Dawa za kichina wapate makalio makubwa
3) Hununua nguo wazidi kuvutia biashara yao
4) Saloon na mikorogo
5) Huchagia michango ya kitchen party
6) Huzishia kwa kununua dawa za kuongeza maisha baada ya kuzurika na HIV
 
Back
Top Bottom