The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,000
- 20,345
Kusema kweli nashindwa kuwaelewa mabinti/wadada wa Kitanzania (sio wote) kwenye mitandao ya kutafta mahusiano ama dating apps. Sijui ni ushamba ama ugumu wa kuelewa.
Mitandao kama Tinder, Badoo, Hitwe, Tantan, Match.com, na mingineyo ni mitandao mahususi kwa datings na inaitwa kabisa dating apps, mtu anajiunga eti anatafta marafiki, marafiki? Hao marafiki umewakosa Facebook, Instagram, Twitter ama hata huko kazini kwako ama kanisani uje kuwatafta Tinder?
Datings apps kazi yake ni 2 tu, ama unatafta long term relationship ama hook up basi. Sasa unakuta mle watu wanataka marafiki na mbaya zaidi unakuta mle mtu eti anauza vitu anatafta wateja. Na kuna kipindi niliwahi kukutana na watu wa network marketing kina Good Morning qnet na wengine wanatafta watu wa kuwapa fursa. Unajiuliza WTF.
Dada zangu, zile ni Dating Apps na kutaftia mume, mke, mchepuko ama mshikaji wa kula nae utamu once in a while kama mtu wako anazingua na sio za kutaftia marafiki.
Kwa mimi na wengine ambao muda wa socialization ni mchache, huku ndio tunakoponea. Sasa usije huku kutuambia unatafta marafiki. Hao kawataftie kwenye social media nyingine na sio dating apps. Msituharibie michongo.