Wadada acheni ushamba kwenye Dating Apps

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,998
20,332
Kusema kweli nashindwa kuwaelewa mabinti/wadada wa Kitanzania (sio wote) kwenye mitandao ya kutafta mahusiano ama dating apps. Sijui ni ushamba ama ugumu wa kuelewa.

Mitandao kama Tinder, Badoo, Hitwe, Tantan, Match.com, na mingineyo ni mitandao mahususi kwa datings na inaitwa kabisa dating apps, mtu anajiunga eti anatafta marafiki, marafiki? Hao marafiki umewakosa Facebook, Instagram, Twitter ama hata huko kazini kwako ama kanisani uje kuwatafta Tinder?

Datings apps kazi yake ni 2 tu, ama unatafta long term relationship ama hook up basi. Sasa unakuta mle watu wanataka marafiki na mbaya zaidi unakuta mle mtu eti anauza vitu anatafta wateja. Na kuna kipindi niliwahi kukutana na watu wa network marketing kina Good Morning qnet na wengine wanatafta watu wa kuwapa fursa. Unajiuliza WTF.

Dada zangu, zile ni Dating Apps na kutaftia mume, mke, mchepuko ama mshikaji wa kula nae utamu once in a while kama mtu wako anazingua na sio za kutaftia marafiki.

Kwa mimi na wengine ambao muda wa socialization ni mchache, huku ndio tunakoponea. Sasa usije huku kutuambia unatafta marafiki. Hao kawataftie kwenye social media nyingine na sio dating apps. Msituharibie michongo.
 
Dating apps, mitandao ya Machangu na wauza mbususu
Kuna wanawake wa maana sana kule sio wauza nyapu tu.

Lakini pia kama ni wauza nyapu ndio hao hao walioko mtaani. Mitandao haina watu wake tofauti na tulionao mitaani.

Usiwe na mawazo ya kizamani ya watu ambao hawakwenda shule na wajinga, Dunia imebadilika nateknolojia inarahisisha maisha kila siku. Kwamba we can meet online halafu tukapelekana kanisani.
 
Kusema kweli nashindwa kuwaelewa mabinti/wadada wa Kitanzania (sio wote) kwenye mitandao ya kutafta mahusiano ama dating apps. Sijui ni ushamba ama ugumu wa kuelewa.

Mitandao kama Tinder, Badoo, Hitwe, Tantan, Match.com, na mingineyo ni mitandao mahususi kwa datings na inaitwa kabisa dating apps, mtu anajiunga eti anatafta marafiki, marafiki? Hao marafiki umewakosa Facebook, Instagram, Twitter ama hata huko kazini kwako ama kanisani uje kuwatafta Tinder?

Datings apps kazi yake ni 2 tu, ama unatafta long term relationship ama hook up basi. Sasa unakuta mle watu wanataka marafiki na mbaya zaidi unakuta mle mtu eti anauza vitu anatafta wateja. Na kuna kipindi niliwahi kukutana na watu wa network marketing kina Good Morning qnet na wengine wanatafta watu wa kuwapa fursa. Unajiuliza WTF.

Dada zangu, zile ni Dating Apps na kutaftia mume, mke, mchepuko ama mshikaji wa kula nae utamu once in a while kama mtu wako anazingua na sio za kutaftia marafiki.

Kwa mimi na wengine ambao muda wa socialization ni mchache, huku ndio tunakoponea. Sasa usije huku kutuambia unatafta marafiki. Hao kawataftie kwenye social media nyingine na sio dating apps. Msituharibie michongo.
Kumbe unanunua makahaba?
 
Back
Top Bottom