Fanya yako achana na maisha ya watu.
unatugharimu sana ndo maana tunashindwa hata kukemea pepo au wachawi! we are powerlessMtu aziniye na mwanamke Hana akili kabisa,afanya jambo litakalomwangamiza nafsi Yake.Mithali 6:32 sijui Mungu Ana Siri gani na huu ujumbe ambao binadamu wameudharau.
Wee rubii mwanamke mwenzio analia huko.kwaajiri yako! umemchukulia bwana unasema nawewe mumeo! kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.Nimemkumbuka khadija kopa,"WAKO AKIWA KWAKO AKITOKA NJE SI WAKO!!."
"KAMA BWANA KWAKO WEWE AKIJA KWANGU KAJA KWA MKEWE."
umerudi kwa kishindo! unahalarisha haranu kuwa halali.'masulia' hiki ni.kipindi cha neema Agano la kale halina nafasi.ndoa ni ya mke na mume mmoja.labda kwa ndugu zangu islam ndio ruksa kuwa na zaidi ya mmoja,1. Binadamu hatufanani, usidhani unachoona wewe sawa ni sawa kwa wote. Kila mtu ana kitu kimpacho furaha na unaweza usielewe.
2. Mwanaume kutaka kuonesha urijali kwa. kimada na kutomridhisha mkewe ni ulimbukeni.
3. Hao wanawake unaokutana nao wako peke yao ni wasioolewa ambao hata wasingekua wana uhusiano na waume za watu still wangekua peke yao.
Kuwa na mume wa mtu hakuzuii kuolewa. Kuna wanawake kibao kwenye ndoa wana mahusiano ya nje na wanaume wenye ndoa. Kawaida tu.
4. Nani kaingilia ndoa hapo? Mwanamke alienda kupiga hodi kumtaka mwanaume?
Mwanaume mwenyewe na uzinzi wake kaamua kuharibu ndoa yake. Muwaache hao wadada tuone kama watawafata kuwataka.
5. Afadhali umeongea na wanaume wenzio.
Kumbuka sio wote watakua wake, masuria nao wapo. Sio kila mtu anapenda kuwa na mume wa pekeake, kwenye ndoa kuna majukumu mengi wengine huyaona utumwa.
Kila mtu aheshimu uhuru wa mwenzake.
inaonyesha hujapata athari za mtu wako kutekwa na mchepuko! siku ikifika utakumbuka maneno yangu huku ukijuuutra.Wanaume za watu? Watu wap?
Ahaaaaa unajua walivo watamu?
Btw mme wa mtu waziwa. Wewe kama umechoka sign out, hivi vitu vipo tangu enzi za babu zetu. Loh kizuri onja na nduguyo akuu!
kweli mkuu.lakini nchi za zingine angalau waume na wake za watu wanajiheshimu na kuona ni kinyume cha maadili.Bongo inaonekana ni ujanja! badala ya undezi.kwa wadada kuingilia ndoa za watu na kujipa haki miliki kuliko hata mwenye mume!Hapa lazima theories nyingi zitaletwa, ikiwa ni pamoja na "uhuru wa kufanya watakayo". Lakini kulala na mke/mume wa mwenzako sio heshima hata kidogo.
Mwingine anasema "ili mradi nipo happy" sijali watu wanawaza nini. Anyways, dunia imeharibika, maasi yameongezeka, uchafu, uzinzi na uasherati ndio fasheni, ugumu wa maisha nao unachangia watu kutokuwa waaminifu, malezi mabovu, tabia mbaya za wazazi vyote vinachangia kuona kama haya ni mambo ya kawaida kwa kizazi chetu.
mkuu zangu ni case study sio lazima inihusu.ila ipo ktk jamii.ndo maana tunakumbushana kufanya yatupasayo.
Hivi unajua kuna wakati michepuko huzifanya baadhi ya ndoa kudumu sana? Chukulia mfano wa ndoa ambayo imetokea kwamba hawaridhishani katika tendo la ndoa, kitu pekee kitakachowafanya waendelee katika ndoa ni mchepuko, wadada msimsikilize mchochezi huyo mmekua mihimili ya ndoa kibaoI salute you JF members,
Kuna baadhi ya Dada zetu wanarubuniwa kirahisi na waume za watu kwa tamaa zao za kupata hela na huduma zingine lukuki toka kwa wanaume za watu walio kwenye ndoa kuna athari kwa mwanaume anayejenga mahusiano nje ya ndoa pia kwa mwanamke anayejihusisha na waume za watu.baadhi ya athali hizo ni hizi.
1) Maisha ya wadada wa aina hii haya eleweki wanafuraha za mda mfupi na kujaa usiri mkubwa! Hawezi kuonyesha kwa jamii haya mahusiano yake ni siri!
matokeo ni kukosa heshima na fursa za
kujipatia wanaume wengine.
2) Wanasababisha waume za watu watumike sana nje ya ndoa kuliko kuonyesha ufanisi katika ndoa zao matokeo baadhi yao hushindwa kuwaridhisha wake zao!Takwimu zinaonyesha wanaume sita kati ya kumi kwa walioko kwenye ndoa wanamatatizo
ya nguvu za kiume.nguvu zote zinaishia kuonyesha urijali kwa wadada mtaani!
3) Kwenye social function huwezi kuta wadada wa aina hii wameambatana na hao waume za watu, matokeo ni kuishi maisha ya upweke.
4) Kukosekana kwa amani kwenye ndoa wanazoziingilia mpaka kuzivunja na kusababisha mateso na kusambala tisha familia za watu!
5) Wanaume tulieni njia huku kwingine waachieni wana wasio kwenye ndoa! Wadada, wanaume wasiooa wapo kibao mnajiingiza kubanana kwenye ndoa za watu acheni ujinga huo wa kupenda starehe za muda na kupoteza ujana wenu wapeni nafasi masela wajimegee na kutwaa hiyo mizigo jumla.
Karibuni.