Wacha niwafundishe dawa bora kabisa ya nguvu za kiume (Dawa namba moja ya nguvu za kiume)

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
16,998
31,921
Hii inakuhusu zaidi wewe Mtanzania mwenye kipato cha chini ambae hauna uwezo wa kurudi gharama za matibabu ya nguvu za kiume.

Nasema hivi kwa sababu matibabu ya ukweli na uhakika ya nguvu za kiume yapo hapa Tanzania, na watu wanatibiwa na kupona kabisa. Tatizo la nguvu za kiume linabaki kuwa historia. Tatizo ni matibabu hayo ni gharama. Gharama zake zimesimama.

No watanzania wachache wenye uwezo wa kumudu gharama za matibabu hayo. Kwa sababu matajiri wanalipia gharama nyingi sana matibabu hayo na kuwafanya watoa huduma kutoa kuwa na Maringo. Na kupata nafasi ya kutibiwa kwenye huduma hizo ni hadi connection.

Ni kama vile matajiri wanataka masikini wabakie kuwa makhanithi ili msiweze kuwakaza wake zao na binti zao kwa sababu dawa hizo sio poa ( na ni dawa za asili kabisa ambazo hazijapita kiwandani yani ni from the bush to the mills to the consumer)

Back to the topic. Hii hapa ndio dawa ya asili ya nguvu za kiume bora kuliko zote duniani.

Nayo ni : KUTEMBEA UMBALI MREFU KWA KASI KILA SIKU ( Brisk Walking)

Hata kama tatizo lako la nguvu za kiume ni kubwa kiasi gani ukifanya zoezi hili kwa muda wa miezi sita mfululizo utakuwa umepona kabisa shida ya nguvu za kiume. Hata kama ulianza kufanya masturbation tarehe 11 September 2001, halafu ukaacha leo basi kwa zoezi hili la kutembea kwa kasi na ukakamavu kama wanajeshi kwenye gwaride utapona kabisa.

Utaanza kuona mabadiliko ndani ya siku 21.

Tembea walau hatua elfu kumi kwa siku.

Tembea umbali mrefu kwa kadri utakayo weza hata kama ni Tegeta to Kariakoo au Chanika tu Kariakoo.

Mbali na kupona kabisa nguvu za kiume lakini faida nyingine utakayo ipata ni kama una shida ya moyo basi utapata nafuu kubwa sana kwa sababu kwenye unyayo wa mguu wa kushoto kuna mishipa ambayo ipo connected na mishipa ya moyo.

So unapokuwa unatembea unakuwa pia una strengthen mishipa ya moyo.

Unaweza kupona kabisa hadi tatizo la moyo.

Thank me later.

# Hakuna wodi ya wagonjwa wa nguvu za kiume
 
Ukiona wewe Mwanaume unamkaza Mwanamke halafu bao likiwa linatoka huonyeshi sura km unataka kulia fulani na kutoa sauti ya juu ya kugumia bao linavyotoka hivi basi Wewe jua afya yako kimeo ukapimwe afya yako
Duh
 
Humu sasa kila mtu daktari anashauri anavyotaka!
 
Ukiona wewe Mwanaume unamkaza Mwanamke halafu bao likiwa linatoka huonyeshi sura km unataka kulia fulani na kutoa sauti ya juu ya kugumia bao linavyotoka hivi basi Wewe jua afya yako kimeo ukapimwe afya yako
Mkuu kupiga kelele za maigizo ni za wanawake. Mwanaume unaanzaje kuweweseka kama una mapepo!?
Mmoja amewahi kuniuliza mbona hauonyeshi reaction yoyote au haujafurahia
 
Mleta uzi bado hii dawa yako ni kwa job seeker na watembeza vitu barabarani inawafaa sana.
Wale wasio na huo muda ni kuhakikisha;
Kuhakikisha kabla ya kulala unakunywa chai yenye asali, mdalasini,minti,mchai chai na punje 4 za vitunguu swaumu
Asabuhi ukiamka kabla ya kula vyakula vya kupiga, anza na matunda

Huwezi haya yote, dakika 20 kabla ya mechi, kunywa kahawa yenye swaumu punje 3-4
 
Mkuu kupiga kelele za maigizo ni za wanawake. Mwanaume unaanzaje kuweweseka kama una mapepo!?
Mmoja amewahi kuniuliza mbona hauonyeshi reaction yoyote au haujafurahia
Ebwana Mwanaume anaekata utepe km ana afya njema lazima yowe na gumio limtoke km hugumii na hutoi yowe kapime afya yako kuna mawili km sio afya ya akili basi afya ya mwili wako ina tatizo
 
Ebwana Mwanaume anaekata utepe km ana afya njema lazima yowe na gumio limtoke km hugumii na hutoi yowe kapime afya yako kuna mawili km sio afya ya akili basi afya ya mwili wako ina tatizo
Mkuu afya yangu, unaweza kutuma wa demo ili alete mrejesho
Ili uweze hili inabidi uwe na uwezo mkubwa wa kudhibiti na kumiliki hisia zako.
Ila wanawake huwa wanapata tabu maana hawaelewi na wanabaki dilemma na kuwa curious
 
Back
Top Bottom