Wabunge wetu mbona kimya bei ya sukari kwa wapiga kura wenu?

ngoja tumalize kurudisha nyumbani vilaza waliotelekezwa...
tumalize na la bunge live..
badae tutashuhulikia la sukari na mafuta ya kula..
 
Baba Jesca Naye Mambo Yameshakuwa Mengi
Walisema Wameagiza Mbona Kimya Nchii
Ina Mambo Mengi Sana Ya Usanii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom