Wabunge wengine hawajui kabisa dunia inakokwenda

Ndio maana Dr. Didasi Masaburi alisema wabunge Ccm wanafikiria kwa kutumia " masaburi"
 
Huyo ni kishimba wa imaraseko,hapo naamini maneno yako mkuu maana jamaa na yule msukuma wa geita,ni sawa sawa kabisa
Yule Msukuma wa Geita ni kilaza wa kupigiwa mfano. Yeye na Kishimba wanadhalilisha kanda ya ziwa. Nchi zilizoendelea zinatumia reli na wengi wanashangaa tunsposhangilia ujenzi wa barabara ambazo wao pia wanazo kwa ubora wa hali ya juu. Hata hivyo usafirishaji wa mizigo mikubwa na inayotumika sana (consumables) kama cement, mbao, mawe, sukari, sembe nk; ni kwa train.

Kama tunataka maendeleo ni lazima tuwe na mpango wa muda mrefu wa revamp the railway network. Kufanikisha hili utashi wa kisiasa unatakiwa na wanasiasa ndo kina Lusinde, Msukuma, Lema, Sugu, kishimba;

Kazi tunayo!
 
Yule jamaa ni hatari kwa hayo mambo. Nina hakika ameshatafuna warembo pale.
Kama nyie mmembwela na kuliwa bia sasa wengine kwanini wasipasie nyavu, nyie endeleeni na danadana wengine kross dongo wire, ila hili sio jukwaa lake. Yaani mti analeta umbea wa kisiasa eti kamsikia mbunge akiongea unafikiri ataweza kung’oa mrembo hata kama ni wa bar.
 
Kwanza huyo kesi yake ya meli iliisha je? Watanzania tu wasahaulifu sana. Yeye atakuwa ana malori unategrmea nini? Reli imara Ndiyo mkombozi wa wanyonge
Pesa haishindwi kitu, aliporudi kutoka Zimbabwe alikuja na nyaraka kwamba ile meli aliinunua Kenya na alikuwa eti kiishamuuzia kapteni Haule, nahodha aliyekuwa akiiendesha ambaye alizama nayo. Ikizingatiwa ilikuwa nyakati za mzee wa Msoga jalada lilifungiwa polisi hata mahakamani halikufika.
 
Kama nyie mmembwela na kuliwa bia sasa wengine kwanini wasipasie nyavu, nyie endeleeni na danadana wengine kross dongo wire, ila hili sio jukwaa lake. Yaani mti analeta umbea wa kisiasa eti kamsikia mbunge akiongea unafikiri ataweza kung’oa mrembo hata kama ni wa bar.
Hongera kwa kukomenti.
 
Back
Top Bottom