Wabunge watano wa Jiji la Dar hawa hapa

Hapa naomba tusaidiane. Hivi ni kwa nini kila inapotokea nafasi hizi za uteuzi CHADEMA wanaishinda CUF? Kwa mfano, walipofanya uchaguzi wa Meya wa Kinondoni na Ilala, CHADEMA ndo wamesimamisha nafasi ya Umeya na CUF kupewa Naibu Meya. Huo si ubinafsi?

Hayakuhusu, mtoto wa kike kazi kubwabwaja tuu ,wewe utakua bint wa saloon
 
Hapa naomba tusaidiane. Hivi ni kwa nini kila inapotokea nafasi hizi za uteuzi CHADEMA wanaishinda CUF? Kwa mfano, walipofanya uchaguzi wa Meya wa Kinondoni na Ilala, CHADEMA ndo wamesimamisha nafasi ya Umeya na CUF kupewa Naibu Meya. Huo si ubinafsi?
Penye maelewano hapana tatizo
 
Hapo pa SAED KUBENEA hakika UKAWA wamepotea njia. Ni afadhali wangempeleka John Mnyika
Ebu tuambie kati ya kubenea aliyeko CHADEMA na Lameck Airo, Lusinde na Maji Marefu waliopo CCM ni chama kipi kilichopotea njia?
 
"Nyani haoni kundule" Lizaboni anamshangaa mwenzie (Mwanahabari Huru) kwa kumtaja Adallah Mtolea kama mbunge wa Mbagala badala ya Temeke wakati yeye mwenyewe kamtaja Mh. Suleiman Bungala a.k.a BWEGE kwamba ni mbunge wa Kilwa Kaskazini. Ndo vijana wa umagambani hao.
 
Hapa naomba tusaidiane. Hivi ni kwa nini kila inapotokea nafasi hizi za uteuzi CHADEMA wanaishinda CUF? Kwa mfano, walipofanya uchaguzi wa Meya wa Kinondoni na Ilala, CHADEMA ndo wamesimamisha nafasi ya Umeya na CUF kupewa Naibu Meya. Huo si ubinafsi?
Wabunge wa dar:

CCM 4(Ilala,Segerea,Mbagala na Kigamboni).

CDM 4(Kawe,Ukonga,Ubungo na Kibamba).

CUF 2(Temeke na Kinondoni)

CDM wana madiwani wengi kuliko CUF sasa mi naona wameangalia uwiano
 
Back
Top Bottom