Wabunge Washtushwa TCRA kutumia Bilioni 18 kwa Semina na Warsha

TANROAD/TPA/TRA /TCRA/TANAPA/NSSF/ BOT/........../.........../.........../............/...........and many more.

Ni ubadhirifu/ wizi /ufisadi/ uroho na ulafi.

Huku wakurugenzi wakijilipa mamilioni ya /=
Na kuna mtu humu kasema hawa Tcra hawapewi pesa na serikali anatakiwa kusamehewa maana ndipo upeo wake ulipoishia' tafadhari msimtukane mngese huyu.

Naanza kuona mantiki ya hawa waliosimamisha misaada,
Inawezekana sio ishu ya Zenji pekee.

Mkuu huyo atakuwa ni mwajiriwa wa huko, mtu anaye jali ustawi wa Taifa letu hawezi kuja na hoja zenye walakini kama hizo.
 
Hawa hata siwashangai kuna mwaka walipeka watu watatu kusoma nje kwa sh.bilioni 3 na hakuna chochote kilichofanyika ni upigaji tu kwa kwenda mbele.
 
labda tungepata mtiririko wake kwa miaka ya nyuma mpaka sasa matumizi yao yalikuwaje,isije kuwa ziliingia kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa oktoba 2015.
 
labda tungepata mtiririko wake kwa miaka ya nyuma mpaka sasa matumizi yao yalikuwaje,isije kuwa ziliingia kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa oktoba 2015.
Hizo pesa zina baraka za wakubwa toka chama cha majambazi
 
hapa profesa mbalawa atakuwa anahusika kwa asilimia zote. iweje wizara yake ifanye ufisadi mkubwa kama huu naye yupo?
 
kutumia bilioni 76 kati ya bilioni 79 ulizokusanya ndani ya mwaka mmoja wa fedha,bilioni 18 kwaajili ya warsha na mafunzo kweli?lipo tatizo hapo(JIPU)
 
Katika utumishi wa umma, posho huwa ni hatari kuliko mshahara. Sasa wenzangu na mimi wameambia mkuu wa nchi anachukua 9.4M wakashangilia kweli bila kuuliza ukichanganywa na posho zake unafika milioni ngapi?
Tumetaka wenyewe serikali inayotaka sifa laini, kwa hiyo kila jambo tunalifanyia usanii ili kupata sifa. Leo tunawasikia TCRA, kesho tutasikia BOT na kesho kutwa tutasikia NSSF wanalipana posho hizo kwa vikao na semina.

Ova
 
Mi nataka kumuuliza baba yangu mbona wazee wenzio wamepiga hela kiasi hicho afu sisi tunakufa masikin?Kajistaafia zake tuela twake tudogo mpaka huruma.

Mama hukumshauri Mshua?

Hahaaa natania.Pu.ribs zao kwani TCRA silicon valley?
 
Mkuu ndio maana umeona wajumbe wametulia! Acha wafanye uchunguzi kwenye hizo shule zao uone kama kuna kelele utasikia! Vinginenvyo wasiende kabisa mafunzoni! Kwani kuna field engineers wangapi hadi tunapiga kelele? Kila kanda wapo enginers na HQ pia wapo! Mambo mengine sio siasa jamani! Facts zipo mtaonyeshwa! Course za telecom ni ghali sana hasa hizo workshop za vitu vipya! Usifikirie simu za mkononi fikiria nje box kidogo ujue miundo ya mitambo ya simu...na mabadiliko yake yanavyoenda kasi pia! Hapo kama kuna kupiga sikatai inawezekana ila course zao ni bei pia!
Kwa hiyo unakubaliana kabisa na gharama ya 76B kwa kozi za mwaka mmoja tu!!! Kazi ipo. Ina maana hata kama wangekuwa wanaenda kuanza degree kwa miaka 3 ushapiga hesabu hiyo hela inasomesha wanafunzi wangapi??
 
Mhhhh!! Hivi Wkt Hayo Yakitokea, Prof. Mbarawa Si Ndiye Aliyekuwa Waziri Wa Wizara Ambayo TCRA Inahusika Nayo!!!??
 
Back
Top Bottom