Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,140
Kwanini msiwape nafasi ya kuchagua either ndiyo au hapana juu ya hii bajeti hewa?Hakuna mtu aliyeambiwa cha kufikiri bali wamepewa nafasi ya kuchagua.
Kupewa nafasi ya kuchagua ni zaidi ya kupewa nafasi ya kuchambua fikra zako na kufanya uamuzi kwa faida ya fikra zako.