Safari imepungua sana!Mtasubiri sanaaa.
Kila raia wa Tanzania huzaliwa akiwa ni mwanaccm. Hivyo basi ccm kukosa mwanachama ni mpaka wananchi wa Tanzania waache kuzaana.Siku CCM ikipoteza dola,atabaki mwenyekiti tu na safu yake na itabidi waanze upya kutafuta wanachama na kuwapata itakuwa ni kazi ya ziada.
Pole sana ndg yangu, lakini naamini si kosa lako, ila ni lile tatizo la kuwekeza akili kwa watu wengine, mara hii2 umesahau kwamba ujio wa Lowasa umefanya wanachama wapunguze imani na chama chao? sasa kimeonekana ni chama kinachokumbatia ufisadi, uhalifu na si kama mwanzo, kilikuwa kinapinga ufisadi, ebu ona hata watu wa madawa ya kulevya ni salama kwa chama "B" ila usitegemee hao wabunge kuhamia chama "B" na hao ndo walimsaliti baba yao baada ya kuondoka CCM. Baba yao alijikuta anabakia na mundu yake Mugeja2 kwenda chama"B" inahitaji moyo na si kukurupukaBaadhi ya Wabunge Makini wanaohoji Mambo CCM wameanza Kutishiwa kuwa wasipobadili Mienendo yao watapokonywa Majimbo yao katika Kura za Maoni 2020. Na ni wengi hasa kiasi cha kuwa hata Speaker hawezi kuwa spared kama hatacheza Ngoma ya Koromije!
Vitisho hivi sio official ila vinapenyezwa na aina za Wale wabunge wanaotamani kulia bunge likiwa live, Wale wanaosema Kuku zilipe kodi na Rambirambi zikatwe kodi. Na kuna ambao walishabugi hata kama wakifanyaje Ba-Bashite ameshawaweka X. Sasa ndio hapo inabidi wawe na Mikakati ya kufa na Kupona.
Na ndio Maana huwa nawaambia hawa wabunge kuwa kushiriki kuua Upinzani ni sawa na Kuchoma Ngalawa kisa Umenunua Mtumbwi. Mkiutetea Upinzani Kihalali, Mkiusaidia Usihujumiwe, na sio Lazima kufanya makubwa ya Kuonekana wasaidieni kujua siri za hujuma etc. Upinzani ukiwa na Nguvu, ikikaribia 2020 hawa waliyoyadhamiria wakifanya Kweli? Mtakuwa na Pakwenda kupigania Majimbo yenu.
Kwa sasa hawa Wabunge waliowengi hata wakijifanya kutetea nu 5 kwa kidizaini, Jamaa alishadhamiria. Haya msiseme hamkujua. Na najua wengi Mnakijua Nachowaambia nachosema. Kingine Jitahidini sana Kushikamana na Wananchi wenu kwenye shida na Mali ili siku mkikatwa, Na mioyo ya Wananchi wenu iende nanyi mtakakokwenda!
Na Chadema Kubalini Ushauri, Mbunge wa CCM akihujumiwa akija kwenu, moja kwa Moja mpeni yeye Tiketi ya Kugombea Jimbo Lake. Let say Uchaguzi uliopita Alipokuwa CCM kwenye hilo jimbo Alishinda kwa kura 30,000 Na Ninyi mkapata Kura 22,000 sasa Uchaguzi Ujao Akifukuzwa CCM, Panga Pangua atakuwa Mioyoni mwa angalau nusu. 15,000 Akija Kwenu Mkimpitisha awe mgombea wenu bila mizengwe ya Kijinga, Kaja na at least Kura 15000 Nyie zenu za Uchaguzi Uliopita hata kama Mki maintain nusu yake hapo mna Kura 11000 Kwa uchache. Hapo Ukijumlisha autakuta amekuja na Kura 15000 Mkamtulia zenu 11000 hapo anashinda kwa Mbali sana kwa Kura 36,000 huku huyu Imposter mpya wa CCM kama Shetani wake akimsaidia Ataambulia Maximum ya Kura 15,000.
CHADEMA ACHENI DHARAU MKISHAURIWA FANYENI SIASA KWA AKILI. MGEWEZA KUWEKA HATA TANGAZO, UKITOKA CCM TUTAKUPITISHA JIMBO LAKO BILA KUPINGWA, WENGI WATAKUJA, HATA WAKIWA WATANO KATI YA MIA NI SAWA KWANI HAYO MAJIMBO SIO YENU NA YOU HAVE NOTHING TO LOSE!
...Pia tujadili waliokula rambi rambi za watoto kule Arusha.Ya CCM hayawahusu!
Jadilini kwanini Wenje kapata kura 34 na Masha kapata kura 44 baada ya Spika Ndugai kukubali ombi la baadhi ya Wabunge wa Chadema kuomba kwenda kupiga kura kwa Siri pale mbele
Aliihujumu serikali ikaonekana haifanyi lolote.........hiyo ni akili ya mwafrica mlofa na maskini anayeihujimu serikali Yake ili aingie madarakaki kuendeleza nchi aliyoihujumu na kuifanya maskiniNi kweli kabisa siasa ni mipango na mbinu tu.
Dr.Slaa pamoja na kukikimbia chama lakini alikua ni bingwa wa mbinu za kuhujumi serikali kisiasa kwani alisababisha serikali ya JK ionekane haijafanya CHOCHOTE kwa muda wote mpaka sasa watu ndio wanagundua kumbe JK kuna mema aliyokua amefanya.
Chadema wasipokaa na kupokea maoni ya watu watashindwa vibaya.
Watu ndiyo source ya elimu na ushindi wa kisiasa. Nyerere alikua anacheza bao na kunywa kahawa uswahilini ili ajue watu wanasemaje na wanamshaurije wale wasi na fursa ya kufika ikulu.
Hii ilimsaudia kutengeneza Propaganda.
Hata awamu hii ya Tano inawavuta sana watu wa chini pamoja na ugumu wa maisha uliopo kutokana na kutumiw mbinu na Propaganda zinazofanana sana na za Dr. Slaa.
Hata Dr. Slaa angetawala Tanzania angetawala kama ilivyo sasa. Awamu hii inaelekea walifuatilia kwa karibu sana Siasa na Propaganda za Dr. Slaa ili waweze kuwateka watu wa Chini wanaowaita wanyonge.
Sasa Mbowe asiposhtuka na kuingia mitaani na kutafuta ushauri kwa udi na uvumba kamwe hataweza kushindana na utawala huu kisiasa. Bora awapushe wengine wenye mbinu na mipango na Propaganda sawia za kisiasa.
Mbowe kuna wakati anapitiwa na kuwa mbinafsi na mroho aliyepituliza.Ni lazima akubali kutulia na kusikiliza hasa anapoona CCM wanakua na jambo linalotaka kuingilia mambo ya ndani ya CDM. Umakini unahitajika vinginevyo anapeleka chama shimoni.
Naona wewe uneextend Ubongo wako to the last thinking ability.Hao wanaChama watawaongeZa mda gañ Na hali baba yak0 kafinya uhuru wa siasa.?TUMIA
Ub0ngo
wewe
Haya hawawezi kuyajadili. Wao kila kitu mbaya ni CCM kumbe wao ndio wanahujumiana....hata Bulaya aliwapigia kura wanawake wenzake tena akamaliza akaanza kushangilia na Naibu Spika kwa kumzodoa Mbowe...Ya CCM hayawahusu!
Jadilini kwanini Wenje kapata kura 34 na Masha kapata kura 44 baada ya Spika Ndugai kukubali ombi la baadhi ya Wabunge wa Chadema kuomba kwenda kupiga kura kwa Siri pale mbele
Aliihujumu serikali ikaonekana haifanyi lolote.........hiyo ni akili ya mwafrica mlofa na maskini anayeihujimu serikali Yake ili aingie madarakaki kuendeleza nchi aliyoihujumu na kuifanya maskini
Huo mkakati wa kuchukua makapi ulishafeli kwa Lowassa.Watu wanachagua chama sio mtuBaadhi ya Wabunge Makini wanaohoji Mambo CCM wameanza Kutishiwa kuwa wasipobadili Mienendo yao watapokonywa Majimbo yao katika Kura za Maoni 2020. Na ni wengi hasa kiasi cha kuwa hata Speaker hawezi kuwa spared kama hatacheza Ngoma ya Koromije!
Vitisho hivi sio official ila vinapenyezwa na aina za Wale wabunge wanaotamani kulia bunge likiwa live, Wale wanaosema Kuku zilipe kodi na Rambirambi zikatwe kodi. Na kuna ambao walishabugi hata kama wakifanyaje Ba-Bashite ameshawaweka X. Sasa ndio hapo inabidi wawe na Mikakati ya kufa na Kupona.
Na ndio Maana huwa nawaambia hawa wabunge kuwa kushiriki kuua Upinzani ni sawa na Kuchoma Ngalawa kisa Umenunua Mtumbwi. Mkiutetea Upinzani Kihalali, Mkiusaidia Usihujumiwe, na sio Lazima kufanya makubwa ya Kuonekana wasaidieni kujua siri za hujuma etc. Upinzani ukiwa na Nguvu, ikikaribia 2020 hawa waliyoyadhamiria wakifanya Kweli? Mtakuwa na Pakwenda kupigania Majimbo yenu.
Kwa sasa hawa Wabunge waliowengi hata wakijifanya kutetea nu 5 kwa kidizaini, Jamaa alishadhamiria. Haya msiseme hamkujua. Na najua wengi Mnakijua Nachowaambia nachosema. Kingine Jitahidini sana Kushikamana na Wananchi wenu kwenye shida na Mali ili siku mkikatwa, Na mioyo ya Wananchi wenu iende nanyi mtakakokwenda!
Na Chadema Kubalini Ushauri, Mbunge wa CCM akihujumiwa akija kwenu, moja kwa Moja mpeni yeye Tiketi ya Kugombea Jimbo Lake. Let say Uchaguzi uliopita Alipokuwa CCM kwenye hilo jimbo Alishinda kwa kura 30,000 Na Ninyi mkapata Kura 22,000 sasa Uchaguzi Ujao Akifukuzwa CCM, Panga Pangua atakuwa Mioyoni mwa angalau nusu. 15,000 Akija Kwenu Mkimpitisha awe mgombea wenu bila mizengwe ya Kijinga, Kaja na at least Kura 15000 Nyie zenu za Uchaguzi Uliopita hata kama Mki maintain nusu yake hapo mna Kura 11000 Kwa uchache. Hapo Ukijumlisha autakuta amekuja na Kura 15000 Mkamtulia zenu 11000 hapo anashinda kwa Mbali sana kwa Kura 36,000 huku huyu Imposter mpya wa CCM kama Shetani wake akimsaidia Ataambulia Maximum ya Kura 15,000.
CHADEMA ACHENI DHARAU MKISHAURIWA FANYENI SIASA KWA AKILI. MGEWEZA KUWEKA HATA TANGAZO, UKITOKA CCM TUTAKUPITISHA JIMBO LAKO BILA KUPINGWA, WENGI WATAKUJA, HATA WAKIWA WATANO KATI YA MIA NI SAWA KWANI HAYO MAJIMBO SIO YENU NA YOU HAVE NOTHING TO LOSE!
Ni kweli kabisa siasa ni mipango na mbinu tu.
Dr.Slaa pamoja na kukikimbia chama lakini alikua ni bingwa wa mbinu za kuhujumi serikali kisiasa kwani alisababisha serikali ya JK ionekane haijafanya CHOCHOTE kwa muda wote mpaka sasa watu ndio wanagundua kumbe JK kuna mema aliyokua amefanya.
Chadema wasipokaa na kupokea maoni ya watu watashindwa vibaya.
Watu ndiyo source ya elimu na ushindi wa kisiasa. Nyerere alikua anacheza bao na kunywa kahawa uswahilini ili ajue watu wanasemaje na wanamshaurije wale wasi na fursa ya kufika ikulu.
Hii ilimsaudia kutengeneza Propaganda.
Hata awamu hii ya Tano inawavuta sana watu wa chini pamoja na ugumu wa maisha uliopo kutokana na kutumiw mbinu na Propaganda zinazofanana sana na za Dr. Slaa.
Hata Dr. Slaa angetawala Tanzania angetawala kama ilivyo sasa. Awamu hii inaelekea walifuatilia kwa karibu sana Siasa na Propaganda za Dr. Slaa ili waweze kuwateka watu wa Chini wanaowaita wanyonge.
Sasa Mbowe asiposhtuka na kuingia mitaani na kutafuta ushauri kwa udi na uvumba kamwe hataweza kushindana na utawala huu kisiasa. Bora awapushe wengine wenye mbinu na mipango na Propaganda sawia za kisiasa.
Mbowe kuna wakati anapitiwa na kuwa mbinafsi na mroho aliyepituliza.Ni lazima akubali kutulia na kusikiliza hasa anapoona CCM wanakua na jambo linalotaka kuingilia mambo ya ndani ya CDM. Umakini unahitajika vinginevyo anapeleka chama shimoni.
Pole sana ndg yangu, lakini naamini si kosa lako, ila ni lile tatizo la kuwekeza akili kwa watu wengine, mara hii2 umesahau kwamba ujio wa Lowasa umefanya wanachama wapunguze imani na chama chao? sasa kimeonekana ni chama kinachokumbatia ufisadi, uhalifu na si kama mwanzo, kilikuwa kinapinga ufisadi, ebu ona hata watu wa madawa ya kulevya ni salama kwa chama "B" ila usitegemee hao wabunge kuhamia chama "B" na hao ndo walimsaliti baba yao baada ya kuondoka CCM. Baba yao alijikuta anabakia na mundu yake Mugeja2 kwenda chama"B" inahitaji moyo na si kukurupuka
Mhhhh,haya Ma ccm yangempa Wema mkuu,harafu angepelekwa kule watu wangewachekaje??!!Pale hapakutakiwa Utaifa, CCM waliwachezea Chadema Mchezo Mchafu kuanzia Mwanzo! Ila chadema hawashauriki, Kwenye siasa hakuna Kuwa Mr. Nice, Wangewaweka Masha, Safari Wenje na Wema Sepetu, wangekuwa wamewabana Maccm kama mijusi ukutani, kwani Hao wanaume watatu hawawataki na Wema hawamtaki, na hakuna kura za ndio na hapana. Kwa asilimia 100% Wamama wale walichaguliwa na CCM. Kwa hiyo realy walitoka Chadema lakini kwa Matakwa ya CCM what an insult. Sina Lugha nyingine ha Kusema ila Chadema waliingiziwa Vidole na CCM kusikosemeka. Na wanastahili, wanakiburi cha kipumbavu sana hawasikilizi ushauri. Mimi sikushauri wamweke Wema Kimaslahi ila Kuwafanyia CCM hujuma ten times over, kwenye siasa mtu akikupiga rungu unamjibu kwa mizinga na vifaru! Chadema hili hawalijui wanajifanya Malaika.
Ningekuwa Chadema by 2019 Hivyo Vibombadia Vyote Vingekuwa Juu ya Mawe, si mtindo ni kuhujumiana sio! Ila aku geuza shavu, utavujwa mataya! Kila la heri Malaika wapenzi Chadema!
Hadithi ya fisi na mkono wa binadamuSiku CCM ikipoteza dola,atabaki mwenyekiti tu na safu yake na itabidi waanze upya kutafuta wanachama na kuwapata itakuwa ni kazi ya ziada.
Atashinda kwa ile ile slogan ya kujikita sana kwa wanyonge,hivi we unadhani kuna mwanakijiji anamsema vibaya jamaa?? Haaa tena wakisikia kawaondoa watumishi hewa na watumishi wenye vyeti feki ndo inakuwa baasi kabisa,yaani mi naona jamaa anashinda kabisa tena vizuri hata bila kuiba kura japo watu watapigwa sana na PolisiN
No anaamini Atakwapua Urais Kwa Nguvu, Naweza Kuapa Mbele za Mungu Magufuli huo Ndio Mpango wake! La sivyo aruhusu Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya 2020! Hawezi. Ila mimi naamink kwa Moyo wangu wote 2020 Magufuli hatakuwapo-rais
If wishes were horses..... You are doomed. Keep dreamingBaadhi ya Wabunge Makini wanaohoji Mambo CCM wameanza Kutishiwa kuwa wasipobadili Mienendo yao watapokonywa Majimbo yao katika Kura za Maoni 2020. Na ni wengi hasa kiasi cha kuwa hata Speaker hawezi kuwa spared kama hatacheza Ngoma ya Koromije!