Kitendo cha kutishwa na bastola kilikufurahishaSasa hapo alitekwa?
Mkuu, hujatanabaisha nani atekwe....mtoa uzi ama bashe!!?Haya ndo majitu yanatakiwa yatekwe yateswe na kunajisiwa kabisa bila huruma halafu akitoka huko ndo atajua utekwaji ni kitu gani...fool
HahahahahhahahahhahahahahaKweli msimuige bashe wala nape semeni uwongo na mkishikiwa bastola semeni ni pipi kijiti.
Unaibana Serikali au uanaibana cdm?Mtoa mada look before you leap hapa hakuna cha u CCM, Chadema ama Lowassa hapa ni maslahi ya taifa kwanza. Haya masuala ya utekaji na utesaji tulikuwa tunasikia huko Kenya wakati wa Moi (Nyayo House) ni wakati muafaka kuibana serikali la sivyo it will be too late.
Tofautisha maslahi na usalama wa raia. Bashe alichoongelea ni masuala ya usalama wa raia.Maslahi ya taifa yapi anayopigania bashe?? Yeye kusema 'alitekwa' na tiss kuna maslahi yoyote hapo??
Sasa huko ni kutekwa?.Kwa hiyo Hata ukitukanwa ukakasirika umetekwa?Kitendo cha kutishwa na bastola kilikufurahisha
Kwani Bashe kajiteka mwenyewe?Hii ni sawa na mtu mwenye uraia wa nchi mbili ambaye akiharibu nchi moja anaweza kwenda nchi nyingine.
Katika hali isiyo ya kawaida uchaguzi mkuu uliopita Bashe alisikika akisema kura za ubunge apewe yeye na za urais apewe Lowassa.
2010 wakati wa uchaguzi mkuu Zitto Kabwe alimpigia chapuo JK kuwa apewe kura za urais tokea kipindi hicho Zitto hakuishi tena kwa amani CHADEMA hadi alipoondoka.
Kwa kauli za Bashe hata kufikia kuomba afukuzwe ni wazi ana uhakika wa uanachama wa chama kingine ambapo boss wake na ambaye yeye ni msemaji wake mkuu yupo.
Bashe ni kama ghost member ambaye hata leo CCM ikifa au kuharibikiwa yeye hana cha kupoteza na ndio maana alitoa go ahead kwa wapiga kura wake kumpa kura Lowassa hali akijua kupoteza urais ni mwanzo wa kufifia na kukosa nguvu kwa chama ambacho anajaribu kuaminisha watu yumo.
Wito wangu ni makada wa CCM wasiokuwa na uraia wa vyama viwili kukaa mbali na Bashe na kumuachia ngoma acheze mwenyewe kama alivyoicheza kwenye kampeni maana yeye akikosa huku anako kule ambapo moyo wake ( Lowassa) upo.
Hii ni sawa na mtu mwenye uraia wa nchi mbili ambaye akiharibu nchi moja anaweza kwenda nchi nyingine.
Katika hali isiyo ya kawaida uchaguzi mkuu uliopita Bashe alisikika akisema kura za ubunge apewe yeye na za urais apewe Lowassa.
2010 wakati wa uchaguzi mkuu Zitto Kabwe alimpigia chapuo JK kuwa apewe kura za urais tokea kipindi hicho Zitto hakuishi tena kwa amani CHADEMA hadi alipoondoka.
Kwa kauli za Bashe hata kufikia kuomba afukuzwe ni wazi ana uhakika wa uanachama wa chama kingine ambapo boss wake na ambaye yeye ni msemaji wake mkuu yupo.
Bashe ni kama ghost member ambaye hata leo CCM ikifa au kuharibikiwa yeye hana cha kupoteza na ndio maana alitoa go ahead kwa wapiga kura wake kumpa kura Lowassa hali akijua kupoteza urais ni mwanzo wa kufifia na kukosa nguvu kwa chama ambacho anajaribu kuaminisha watu yumo.
Wito wangu ni makada wa CCM wasiokuwa na uraia wa vyama viwili kukaa mbali na Bashe na kumuachia ngoma acheze mwenyewe kama alivyoicheza kwenye kampeni maana yeye akikosa huku anako kule ambapo moyo wake ( Lowassa) upo.
Lakini nao kina Roma,maneno gani hayo ya kumtukana viongozi?.Nadhani wanatafuta kutekwa ili wajiongezee umaarufuhivi nyie ambao hamuoni kama usalama unakuwa mdogo mpaka watekwe baba zenu au mama zenu ndio muone umuhimu wa kusema ukweli kwa huyu mtukufu wenu...........?????
sio kwamba hamjui sema mnajiendekeza tumieni akili acheni use****
Kwani akikaa kimya ndio atapona!Pole yake. He must know that he is enjoying a ride in a wrong ship. Aangalie tu asije akatupwa baharini na kuundiwa kesi zisizo na mashiko. Manji aliishia wapi? Mbona ishu ya Manji ilipotea ghafla kwenye media?
Huna Chama kweli wewe!!!YAANI MTOA POST UMEKAA NA ROHO MBAYA HIVI BASHE LEO NDO MNAJUA SIYO RAIA?...MIMI SINA CHAMA LAKINI NATAMANI NINGEKUJUA VIZURI NA NINGEWAJUA HAO WATEKAJI NINGEWAAMBIA WAKUTEKE WAKUFANYE FANYE MAZUURI YOTE HALAFU UKITOKA HUKO UJE UIMBE KIDUMU CHA CHA KIJANI AU ZIDUMU FIKRA ZA M/KITI....
WATU WANAONGELEA MASLAHI YA NCHI WEWE UMETANGULIZA TUMBO ETI BASHE ANA PAKUKIMBILIA AKIHARIBU HUKU....
HAKUNA WATU WENYE ROHO MBAYA KM WATEKAJI WALIOTUMWA
Mnafiki na mchichezi wewe nyie ndio mpaka mtipigwa bakora na kudhalilishwa lkn bado mtatetea upumbavu tuHii ni sawa na mtu mwenye uraia wa nchi mbili ambaye akiharibu nchi moja anaweza kwenda nchi nyingine.
Katika hali isiyo ya kawaida uchaguzi mkuu uliopita Bashe alisikika akisema kura za ubunge apewe yeye na za urais apewe Lowassa.
2010 wakati wa uchaguzi mkuu Zitto Kabwe alimpigia chapuo JK kuwa apewe kura za urais tokea kipindi hicho Zitto hakuishi tena kwa amani CHADEMA hadi alipoondoka.
Kwa kauli za Bashe hata kufikia kuomba afukuzwe ni wazi ana uhakika wa uanachama wa chama kingine ambapo boss wake na ambaye yeye ni msemaji wake mkuu yupo.
Bashe ni kama ghost member ambaye hata leo CCM ikifa au kuharibikiwa yeye hana cha kupoteza na ndio maana alitoa go ahead kwa wapiga kura wake kumpa kura Lowassa hali akijua kupoteza urais ni mwanzo wa kufifia na kukosa nguvu kwa chama ambacho anajaribu kuaminisha watu yumo.
Wito wangu ni makada wa CCM wasiokuwa na uraia wa vyama viwili kukaa mbali na Bashe na kumuachia ngoma acheze mwenyewe kama alivyoicheza kwenye kampeni maana yeye akikosa huku anako kule ambapo moyo wake ( Lowassa) upo.
SINA CHAMA NDIYO CHANINI...?Huna Chama kweli wewe!!!