Bamamo
Senior Member
- Apr 8, 2017
- 113
- 29
Mtu kamtukana mtoto, halafu unasema kakutukana wewe, kwa vyovyote wewe una tatizo. Kwanini asiwe mwingine aliyetukanwa ila wewe? Na hujatajwa jina.Kwa sisi wajuzi wa mambo ni kuwa mtu anaweza kukutukana kupitia kwa mtu mwingine! Kwa mfano akajifanya anamtukana mtoto wake kumbe ni wewe!