ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 21,588
- 32,814
Hiyo ni Karata ya mwisho ya "wajumbe "
Apelekwe mahakamani kwa kosa lipi. Utasubiri mpaka Yesu arudi kwa roho mbaya ya kutakia wenzako mabaya.Chenge tunasubiri apelekwe mahakama ya mafisadi halafu kumbe anachaguliwa uenyekiti bungeni
kweli hii ni hapa kazi tu
Magufuli 2020 vivaaaaaaaaCcm ni mabingwa wa Fitina ,Speed aliyoanza nayo Magufuli watamtia gavana ,Mwl Nyerere aliomba kuonana na Mkapa kuhusu uuzwaji wa NBC alishia kutumiwa mtu wa kuongea nae,Magufuli naona kabisa ataingia kwenye historia ya raisi kutawala kwa miaka mitano ,2020 CCM inaweza kumsimamisha mtu mwingine
Ndio nini hiki ??Magufuli 2020 vivaaaaaaaa
Aliyekwambia JPM atawagusa akina Chenge nani???Huyu Chenge aliyepigiwa kampeni n JPM ndiyo wakumuwajibisha Chenge???Wamewekwa ili issue ya Escrow iishie nje ya MjengoChenge tunasubiri apelekwe mahakama ya mafisadi halafu kumbe anachaguliwa uenyekiti bungeni
kweli hii ni hapa kazi tu
Hiyo ndio ccmKila mtu anamfahamu Chenge na makando kando yake katika kashfa mbali mbali ikiwemo Rada na Escrow.
Kitendo cha kumteua kuwa Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni dhihaka na Utani wa hali ya juu katika harakati za kupambana na Rushwa na Ufisadi, ambao zimepewa jina la "Kutumbua Majipu".
Kama kweli kaulimbiu ya Serikali hii ya Awamu ya Tano Chini ya Rais Magufuli ina dhamira ya kweli katika kupambana na Rushwa na Ufisadi a.k.a "kutumbua majipu" basi itekeleze bila upendeleo na kuoneana haya.
Vinginevyo itaonekana ni upendeleo na kubebana kwa wanasiasa.
NAWASILISHA KWA UZALENDO NILIONAO KWA NCHI YANGU.
sahau kuhusu hilo Mkuu Ccm ni ileileHivi ile mahakama ya mafisadi viipi
ccm ni hatari sana , leo chenge na nape wanaongea lugha moja !Leo katika siku yake ya kwanza tuu kaonyesha rangi take halisi