TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,290
- 6,726
Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu!
Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida!
Mimi Binafsi siwezi kuwaacha DSTV kwasababu wana kila kitu ninachokihitaji!.DSTV siyo kwa ajili ya Masikini ( Hoehae) bali ni kwa ajili ya watu wenye Vipato vya kati na wenye uwezo (Matajiri),hawa jamaa bahati nzuri wamejenga standards zao ambazo haziwezi kufutika leo wala kesho!
Tatizo la AZAM wamekaa ki-Local sana na kwenye King'amuzi Chao hakuna cha maana zaidi ya Uswahili na Udini!.
Mimi binafsi sijawahi kusumbuliwa na DSTV kwasababu pia natumia king'amuzi cha PREMIUM ambacho kina kila kitu ninachohitaji!.
King'amuzi cha AZAM ukipitia nyuzi kadhaa humu members wanalalamika kuhusu remote zake na huduma mbovu wanazopata kutoka kwa huduma kwa wateja!.
DSTV atabaki the Best KING'AMUZI Kutoka kusini mwa Jangwa la Sahara kuliko hao AZAM wenye Uswahili na Udini kila Uchwao ambao members kadhaa wameendelea kuwalalamikia hapa!.
Tangu ninunue DSTV leo no mwaka wa 7 na sijawahi kuona remote yao ikisumbua,hayo mambo ya kusumbua kwa remote ni mambo ya uswahili wa AZAM,Acheni wa Ushuani tuenjoy Good Life kutoka DSTV