Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,890
Hii tabia ya wabongo sidhani kama ni kiume,
Kwa tuliopitia shule kuna baadhi ya wakati mnajikuta mmefanya kosa flani hivi kisha mkatakiwa kupata adhabu. Mmoja kati yenu kwa ujanja au bahati yake akanusurika na adhabu pamoja na kua alikua mmoja wa waliofanya kosa.
Katika vitu ambavyo hua havifanyiki katika kundi hili la wanafunzi ni kumtaja yule mwenzenu alienusurika na adhabu kwasababu leo yeye huenda kesho ukawa wewe ndie ulienusurika na hayo ndo maisha. Jambo linalonishangaza kwa wabongo sisi ambao kipindi kile tuliona haina noma mmoja wetu kunusurika leo kulivalia njuga swala RC.
Watu wengi bongo huishi kuijanja ujanja lakini akitokea mtu kamzidi ujanja maneno meeengi. Mtu kashatoboa then leo ndo unaleta ishu ya vyeti mbona hii istaajabisha.
Wabongo ni vipi nyie
Bila kuathiri hoja yako, napendekeza na Basil Mramba afutiwe kesi.